Taarifa: Mwili umeokotwa Bunju B

Taarifa: Mwili umeokotwa Bunju B

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
1,002
Reaction score
2,286
Mwili wa mwanamke umeokotwa Bunju B karibu na Idara ya Maji. Kama umepotelewa na ndugu unashauriwa uende kituo cha polisi cha eneo hilo ukautambue.

====
Mwili wa mwanamke/msichana umeokotwa leo maeneo ya BUNJU B karibu na Idara ya maji kwenye nyumba ambayo haijamaliziwa ujenzi (gofu) ukiwa umeharibika vibaya

Maiti imekutwa ikiwa na nguo ya juu tu (blauzi) haliyakuwa chini ni mtupu huku Pembeni ya mwili huo kukiwa na viatu vya kimasai na tight

Hivyo kama kuna mtu amepotelewa na ndugu, jamaa ama rafiki afike kituo cha polisi karibu na eneo kupata taarifa zaidi maana ni mwili unaoonekana umetupwa muda kidogo kutokana na kuharibika kwake.
 

Attachments

  • IMG_0527.JPG
    IMG_0527.JPG
    146 KB · Views: 4
😭😭😭 RIP jamani, hii awamu lazima itupiwe lawama coz mtu akifa, hakuna juhuzi zinaoneshwa kuwa ni jambo baya, saivi watu wa kawaida kifo inaachukuliwa powa. Hizi damu zinazo mwagwa machozi hayatatuacha salama. Mungu hadhihakiwi, kumtaja tu bila kuishi kimatendo ni usanii. Sijui ni lini kiongozi wa nchi atapatikana yule anaye aminina kufuata matendo ya ki - Mungu?
 
Uraiani watu wanauliwa sanaaaaa.
Japo matukio mengine hayatangazwi.
pale bunju darajani mpaka wa bagamoyo na dar.
Pia iliokotwa maiti
Shamba la mama mkapa pale vikawe.
Pia iliokotwa maiti.
Cha ajabu wakamzika wakasema kaharibika sanaa.
Hata bila kufanyiwa upelelezi.
 
Tanzania CSI yao butu. Huyo mtu alitakiwa achukuliwe DNA waanze matching kwenye database zao......
 
DH! kuna mama niliona jana anatangaza ITV kupotelewa na binti yake wa miaka 22, alisema aliaga anaenda msibani kwa rafiki yake na mama hamfahamu rafiki wa mwanae, tangu tarehe 9/11 hajamuona, alikuwa na huzuni sana Mungu asaidie tu asije kuwa ndie huyo alie okotwa.. Dunia kweli tambara bovu.
 
Uraiani watu wanauliwa sanaaaaa.
Japo matukio mengine hayatangazwi.
pale bunju darajani mpaka wa bagamoyo na dar.
Pia iliokotwa maiti
Shamba la mama mkapa pale vikawe.
Pia iliokotwa maiti.
Cha ajabu wakamzika wakasema kaharibika sanaa.
Hata bila kufanyiwa upelelezi.
Inahuzunisha sana
 
Uraiani watu wanauliwa sanaaaaa.
Japo matukio mengine hayatangazwi.
pale bunju darajani mpaka wa bagamoyo na dar.
Pia iliokotwa maiti
Shamba la mama mkapa pale vikawe.
Pia iliokotwa maiti.
Cha ajabu wakamzika wakasema kaharibika sanaa.
Hata bila kufanyiwa upelelezi.
Kuhusu vikawe ndio usiseme. Haiwezi pita miezi mitatu haijaokotwa maiti. Inasikitisha sana!
 
Uraiani watu wanauliwa sanaaaaa.
Japo matukio mengine hayatangazwi.
pale bunju darajani mpaka wa bagamoyo na dar.
Pia iliokotwa maiti
Shamba la mama mkapa pale vikawe.
Pia iliokotwa maiti.
Cha ajabu wakamzika wakasema kaharibika sanaa.
Hata bila kufanyiwa upelelezi.

Naskia mitaa hiyo huwa maiti zinaokotwa sana. Mungu atuepushie
 
Back
Top Bottom