Nimeona Chizi Maarifa ni mchawi wakujitolea huyu mtu alikuwa ananipondea humu ila baada ya kusikia ni muharibifu nakuomba popote ulipo ninakazi kubwa naomba msaada wa uharibifu nipo serious
Nakuita Tena Chizi Maarifa njoo huku baba yaani mwenzio nashida y kweli kabisa nilikuwa nimesoma post asubuhi hi yamtu kufukuzwa kazi wakaomba ukawachafue hao watu kazini na mtu alikuambia ulichomfanyia mtu humu sio vizuri a beg oh plz help me human to human acha utani wa humu muangalie huyu mwanadada Unique Flower
Badala yakunisaidia ukaniuliza Kwa ustaarabu unanitukana sawa Huna akili ndio maana hamuoi bakini single Wala Yesu haji kuchukua kilicho chake maana hamna