Taarifa;mrejesho wa marejesho ya safari yangu ntwara....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Habari ya asubuhi,habari ya mchana,habari ya jioni kwa ujumla.

Nimshukuru mke wangu Mrembo Arabela kwa dua zake kwangu ambazo zimefanya nifike salama hapa kijijini ntwara,pia niwashukuru shemeji zangu wote walioniombea kufika salama salmini,pia niwashukuru wale wote walioniombea nisifike salama ili wapate mwanya wa kumwiba mke wangu ambae nina kama kuliko hata pumzi yangu.

Pia niwashukuru wale wenye roho zao za kwanini kwasababu siku zote mola ndio kila kitu katika maisha yetu na mke wangu Arabela.Niwashukuru walionitumia msg za kunifariji kwani huku nilipo si salama kabisa.

Ufuatao ndio mrejesho wa safari yangu hapa ntwara,aisee kwanza niseme wakati nafika mji ulikuwa kimya sana anga la juu kugubikwa wingu la moshi wa mabomu huku nikipishana na walinda amani wa nchi hii TEULE TANZANIA KUTOKA KWA MUNGU.Nimefanya shughuli zote na nimemaliza kwa afya njema,pia hali ya maisha hapa sasa hivi imeanza kurejea kama kawaida ila familia zimepotezana na ndugu zao naamini watapatikana.

...............Siku yoyote ntageuza kurudi kwangu nilichokipata huku kitatutosha na mke wangu.......ila kwa wale wanaofanya biashara ya vyuma chakavu nimekusanya nyingi sana yale magari yaliochomwa moto yote.....wewe tu kuleta mkwanja nakuelekeza pakwenda kuuchukua.

............niwatakie maisha mema kwani hapa nilipo nimejificha natuma ujumbe alafu mr logout ananipitia kuna sehemu twahitajika.

Mke wangu kipenzi Arabela nimekumiss sana,mwaaaaaaaaaaaah.....i lov you.
 
Hapa nilipo nimejificha, natuma ujumbe alafu mr logout ananipitia kuna sehemu twahitajika
Mr Logout bado hajakupitia tu? Maana bado nakuona upo online?

Kwa wale wanaofanya biashara ya vyuma chakavu nimekusanya nyingi sana yale magari yaliochomwa moto yote.
Hivi ile biashara yako ya kuuza vyuma chakavu umeiacha?
 
sawa ... ndio umeenda kuongeza nguvu...?
 
Baunsa kubwa km wewe kusema mwaaaah ni aibu na unaaibisha Micheline wenzako
Mwaah ni kwa masharobaro
 
Ooh my hubby karibu sana usisahau kuniletea korosho na vitenge jaman.
 
unalifahamu tego la Kobe? Next time ukienda nijulishe ukanileteee Nina kazi nalo
 
Habari ya asubuhi,habari ya mchana,habari ya jioni kwa ujumla.

Nimshukuru mke wangu Mrembo Arabela kwa dua zake kwangu ambazo zimefanya nifike salama hapa kijijini ntwara,pia niwashukuru shemeji zangu wote walioniombea kufika salama salmini,pia niwashukuru wale wote walioniombea nisifike salama ili wapate mwanya wa kumwiba mke wangu ambae nina kama kuliko hata pumzi yangu.

Pia niwashukuru wale wenye roho zao za kwanini kwasababu siku zote mola ndio kila kitu katika maisha yetu na mke wangu Arabela.Niwashukuru walionitumia msg za kunifariji kwani huku nilipo si salama kabisa.

Ufuatao ndio mrejesho wa safari yangu hapa ntwara,aisee kwanza niseme wakati nafika mji ulikuwa kimya sana anga la juu kugubikwa wingu la moshi wa mabomu huku nikipishana na walinda amani wa nchi hii TEULE TANZANIA KUTOKA KWA MUNGU.Nimefanya shughuli zote na nimemaliza kwa afya njema,pia hali ya maisha hapa sasa hivi imeanza kurejea kama kawaida ila familia zimepotezana na ndugu zao naamini watapatikana.

...............Siku yoyote ntageuza kurudi kwangu nilichokipata huku kitatutosha na mke wangu.......ila kwa wale wanaofanya biashara ya vyuma chakavu nimekusanya nyingi sana yale magari yaliochomwa moto yote.....wewe tu kuleta mkwanja nakuelekeza pakwenda kuuchukua.

............niwatakie maisha mema kwani hapa nilipo nimejificha natuma ujumbe alafu mr logout ananipitia kuna sehemu twahitajika.

Mke wangu kipenzi Arabela nimekumiss sana,mwaaaaaaaaaaaah.....i lov you.

Naskia ulifika NA MTUMBO chakula cha mchana ukala NA KAPANYA afu ukalala NA NGURUWE , ni kweli umezunguka vijiji vyote hivyo..!?
 
Naskia ulifika NA MTUMBO chakula cha mchana ukala NA KAPANYA afu ukalala NA NGURUWE , ni kweli umezunguka vijiji vyote hivyo..!? .
 
Ooh my hubby karibu sana usisahau kuniletea korosho na vitenge jaman.

Umekosea wa kumuagiza mama.... huyo dogo ni maneno matupu... ntakuletea vitenge vya Congo na Ghana..
 
unalifahamu tego la Kobe? Next time ukienda nijulishe ukanileteee Nina kazi nalo

Mkuu mbona ulisema umemsamehe Invisible na wenzake for that banful event..!??? sasa mbona unaagiza tego tena..!?? ngashituka, machale kundensa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom