Taarifa: MMAHE anaumwa!!

Taarifa: MMAHE anaumwa!!

updates; mwanamke ( MMAHE) kwa sasa yuko poa kimtindo, and i do believe mchana wa leo ataingia hapa jamvini kuwasalimu...may god gives u more power uendelee kulitumikia taifa la Tanzania.. MMAHE pia usiache kumshukuru allah kwa kila jambo. amen
 
Last edited by a moderator:
MMAHE
images
 
MMAHE pole sana,Mwenyezi Mungu akualie afya njemaa.

inabidi tuanze kupambana na mazalia ya mmbu ndio njia ya kuitokomeza hiii maleria inatutesa mmno
 
Back
Top Bottom