khaaaaa! haani kila nisomapo habari za huyu Kibanda huwa najikuta machozi yanatoka yenyewe. But swala la msingi la kujiuliza ni hivi kweli rais wa hii nchi atakwenda kuwapa wavenezuela pole akasindwa kuipa familia hii pole kwa yaliyootokea??
najua you can not overwin the system but atlest there shld be humanity when fullfilling their missions. Nakumbuka mwaka nikiwa field weruweru aliuwawa ndugu yangu mmachame Imran Komba kwa namna ya ajabu sana, sikuona rais akisema lolote zaid ya pole kwa wananchi wa mkoa wa KLM. mengi yalisemwa na nilisema nitakuwa wa mwisho kuamini haya ninayoyaskia.
Alikuja Said Kubenea akamwagiwa tindikali nikasema hapa na penyewe nisiamini akaja dr Uli nikaona sasa hii serikali imefika pabaya, sasa huyu ni mwingine tena je serikali ya CCM itasemaje na itatuaminishaje kwamba haihusiki na haya?? ana siku hzi kuna biashara ya meno ya binadamu baada ya yale ya tembo kuisha??
tuambiwe usalama wa raia uko mikononi mwa nani?? basi bora kila mtu aruhusiwe kumili silaha na once unamuhisi mtu vby you fire him or her. polis hamtulindi ila mnatuua huyu napata picha ni Inghondu na mwenzie Msangi but mtakuja kulipa tu haya siku si nyingi.
Binafsi nasema wazi mh Rais wetu hata lipicha lako la kuwapa pole wavenezuela lile tabasamu ungeliondoa halina maana kama huku raia wako watu wako wa karibu tunajeruhikwa kiasi hiki. Ukiamka leo hujui kam a jion utarudi home salama. Kikwete basi sema neno kwa wanausalama wetu tukuskie.
naskitika sana wanausalama wako wanatumia mbinu za kizamani sana kama kweli unataka kumwondoa mtu why such pain simple koroga pipa la tindikali mdumbukize huyo mtu nakwambia hata unywele wake hautabaki.niko tayari hata kuwapeni aina za tindikali ambazo ni good at it na hata DNA huwez kupata kuliko kwaua kwa maumivu makali hivi.