Taarifa Kwa Watumiaji wa HTC ONE M7 & M8

King Shaat

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
863
835
Juzi kati hivi, kama tarehe 12/12/14, kulikuwa na HTC Service Pack update iliyokuwa ikitolewa kupitia Google Play Store. Shida iliyokuja na update hii na kuzua malalamiko ya watumiaji wengi wa simu hizi, ni kutoweza kusikia, kupiga na kupokea simu (Voice-Call functionality).

So kama wewe ni mtumiaji wa simu hizo hapo na bado huja'update, subiria kwanza mpaka HTC wafix tatizo hili. Ila kama uliupdate na unapata tatizo hilo, unaweza litatua (temporarily) kwa kutumia njia zifuatazo;-

A- clear Play store cache. Settings > Apps> Google play store > Clear cache

B- Factory reset (ingawa hapa itabidi uhakikishe usha'back-up apps zako)

C- Tembelea XDA forums / Google it!
 
Mkuu hapo panataka maelezo ,maana ile play store sidhani kama system apps,lile ni dirisha la kuingizia bidhaa uzitakazo tu fungunga zaidi!
 
Mnaweza kuwa sawa mazee, ila kama we ni mtumiaji wa htc one m7 unaweza kuconfirm!. Na ikumbukwe kuwa siku hizi some of the proprietary apps za HTC ziko playstore so vilevile updates zake pia znapatikana huko. Na kabla hujafanya generalization jaribu kwanza kumuuliza mtumiaji wa simu husika kama wewe sio mtumiaji coz unaweza usipate system updates playstore lakini ukapata service pack updates zinazohusiana na those proprietary apps zao zilizopo playstore!
 
Watumiaji wa M7 inbidi kukonvert simu zenu tu GPE Edition ili kupata OTA updates directly kutoka Google... Hii ni kwa m7ul, m7att,na gsm variants zote isipokuwa Sprint na CDMA version kama Verizon na China Mobile.. Ukifanikiwa kufanya hivyo hayo matatizo yataondoka kabisa... Kumbuka BoomSound na Beats Audio zipo supported kwenye Google Play Edition(GPe)
 
Thanks bruv. Vipi sasa kwa sie wa CM11M12 tuna'update vipi to Lollipop coz hapa bado inasoma 4.4.4? Mars Rover
 
Last edited by a moderator:
Thanks bruv. Vipi sasa kwa sie wa CM11M12 tuna'update vipi to Lollipop coz hapa bado inasoma 4.4.4? Mars Rover

unatumia sim gan than nahia bora uwe coz cm12 nightliea still bado itakusumbia me nlieka bkatoa koz vit ving havipo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom