best umeona eenh, chezea lover boy wewe
makubwaaaa
hahaha...kwani uongo, ngoja nisakanye ushahidi kwanza
Ni kweli unataka kufunga ndoa na huyu bwana(jina lake simjui maana kila mara linabadilika)?
Shikamoni wakubwa zangu.
Habari zenu vijana wenzangu.
Natanga rasmi kua sina tena mahusiano na Suprise wala Rich woman
Kuanzia sasa nitakua na Nitakua na mimisa ambae siku si chache tutaingia kwenye mchakato wa ndoa ili tupate baraka zenu wana jamvi.
Copy:
Mwenyekiti; Baba V
Mwenyekiti msaidizi; watu8
hawa sio mademu Dr. Love ni wanawake