Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Heeee.... kwani ulikuwa umefunga ndoa na hao wadada???? Surprise na Rich woman???
Ebu tuachane nayo hayo kwanza. Tugange mapya.
Ndio, una mahakiri kama Albert Einstein nilikua nampango, ila moyo wangu ulikua kwa mimisa
Mbona unatuchanganya na ma Id yako mkuu,yaani kutwa kucha we ni kujibadili tuu!
Shikamoni wakubwa zangu.
Habari zenu vijana wenzangu.
Natanga rasmi kua sina tena mahusiano na Suprise wala Rich woman
Kuanzia sasa nitakua na Nitakua na mimisa ambae siku si chache tutaingia kwenye mchakato wa ndoa ili tupate baraka zenu wana jamvi.
Copy:
Mwenyekiti; Baba V
Mwenyekiti msaidizi; watu8