Huyu Nyakarungu mbona mimi namsikia kwenye migogoro tu.
Kuna watu mna roho ngumu zaid ya Paka.
Starrling wenu MM kasha kufa....movie imeisha hiii....
BRIGEDIA GRAYSON NYAKARUNGU, MUNGU AKUBARIKI sana
chadema ni wahuni kabisa,kwann wanakandamiza demokrasia
aisee. mkuu yuko too local
UVCCM sikuhizi ndiyo kikosi cha waasi hahaaaa................ Usituletee upuuzi hapa watanzania wanaona.
Mods ondoeni huu ushuzi
huyo si ni marando.Anayetafutwa ni M2 na sio MM2