Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,011
- 285,543
Huyu kijana ana conflict of interest hawezi kuaminika tena , masharti aliyopewa na ccm ili kujiuza ni magumu sana , kabla bunge halijavunjwa atavua nguo bungeni ili aonyeshe makovu aliyosababishiwa na Chadema , ni mpango maalum .Kweli walevi tuko wengi ila tukianguka hatusingizii wasiojulikana.View attachment 1475333
Sent using Jamii Forums mobile app