BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Kabisa, tatizo baharia mwenzetu muongo muongo! Mbona sotetunaanguka tuu.Pole sana kwake...hata Kama ni mlevi bado ni mtu jamani walevi mbona tuko wengi humu.
Kabisa, tatizo baharia mwenzetu muongo muongo! Mbona sotetunaanguka tuu.Pole sana kwake...hata Kama ni mlevi bado ni mtu jamani walevi mbona tuko wengi humu.
Ni mtoto tu ambaye ataamini maneno yako...wachawi pia huaga maiti za waliowalogha ili kuthibitisha mafanikio ya kazi yao...Tumefikia pabaya siasa si nyenzo ya mshikamano asilani!!No haijafikia hatua ya uadui, enmity ni level ya juu sana, ndio maana umeona baada ya Mh. Mbowe kuumia kuanzia Mh. Rais, Waziri Mkuu, Mh. Speaker, Naibu Speaker, na viongozi kadhaa walikimbia mapema kumjulia hali uadui bado hatujaufikia kabisa
Na haiwi ishu [emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa, tatizo baharia mwenzetu muongo muongo! Mbona sotetunaanguka tuu.
Kwenye Acc ya Joyce NkyaMichango ya matibabu vipi tunatuma wapi Paskali?
[emoji23][emoji1787][emoji2960]kiwanda cha konyagi badilisheni jina la konyagi kubwa ile bapa iitwe Mbowe kwa heshima yake.
Baadhi ya wana CCM na wana chadema wakiagiza hilo chupa kubwa la konyagi bapa wanasema "mhudumu lete Mbowe mbili hapa"
We punguani, hii serikali yako inatofauti gani na hao INTARAHAMWE? Yuko wapi Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo wengi tu ambao waliuawa kinyama?Interahamwe hawakuwa wakipiga mateke Wapinzani wao na kuwaacha bila ya walau kifungo cha shati kukatika
Muwe mnalewa kistaarabu kupunguza lawama za kindezi ndeziHintalahamwe ndio nini?
Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo MLIWAZIKA WAPI?Umekariri
We punguani, hii serikali yako inatofauti gani na hao INTARAHAMWE? Yuko wapi Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo wengi tu ambao waliuawa kinyama?
Umekalia nini hapo wewe? Mbona umewaka hivi? CCM ni watesaji na wauaji, hakuna mjadala.Mjadala ni Mbowe, punguani nmeelewa, we Kipanga huelewi!
Zimekuruka mkuuBen Saanane, Azory Gwanda na wengineo MLIWAZIKA WAPI?
Acha kuruka ruka, jibu swali Mkuu. Huo ndio UBALADHURI wa maCCM, hawaoni shida yeyote kunyongelea mbali raia wema.Zimekuruka mkuu
Mimi ni raia wakawaida peleka malalamiko yako unapoona yanafaa shenzi wwAcha kuruka ruka, jibu swali Mkuu. Huo ndio UBALADHURI wa maCCM, hawaoni shida yeyote kunyongelea mbali raia wema.
Wale walienda Kama mabibi chaumbeya tuu. Kwani hukumsikia yule mgogo alivyoropoka.No haijafikia hatua ya uadui, enmity ni level ya juu sana, ndio maana umeona baada ya Mh. Mbowe kuumia kuanzia Mh. Rais, Waziri Mkuu, Mh. Speaker, Naibu Speaker, na viongozi kadhaa walikimbia mapema kumjulia hali uadui bado hatujaufikia kabisa
ukosawa kamanda waambue ukweli hao chama cha kijani kuwa wanakumbuka shoo ya Mond kigoma sasa huyo mkula al mcall mond akiwa kalewa chakali akaanza kumpongeza mond ilikuwA kama saasitaiv kwaiyo huyo mkula yumo xanaKwani mwenyekiti wenu jina lake nani?
Haitwi Pombe?
Haongei ki Pombepombe?
Hoja yake ya kupima mbuzi,papai na mafenesi na kukutwa na corona sio Maneno ya kilevi?
Au mliona wapi mtu ugonjwa wa binadamu wapimwe wanyama,ndege na matunda kama si uchizi?
Sasa mmeshaelewa kwamba,mlevi ama chizi ni nani.
Ni mwenyekiti wenu,saa mnaweza kumpa ushauri huo wa kipumbavu kuhusu majina ya konyagi.
Makufuli amemfuta uanacha Membe ili asipate mshindani ndani ya chama chake, hiyo ndio demokrasia eti? Kitimoto we.Mimi ni raia wakawaida peleka malalamiko yako unapoona yanafaa shenzi ww