Kufuatana na Bajeti ya Serikali ya 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha kuanzia 1 JulaI, 2025 HOTEL lEVY itatozwa kwa kiwango cha 2% badala ya 10%. Hivyo kwa Halmashauri zote mnatakiwa muwe na taarifa hii msije mkawanyanyasa wafanyabiashara wasiojua taarifa hii.
Nawasilisha.
Nawasilisha.