Katika kuelekea kinyanganyiro cha URAIS 2015, AFISA wa usalama wa siku nyingi Mhe Membe inasemekana amekasirishwa sana na habari za kusemekana kwamba familia ya Rais Kikwete haina mpango naye tena kwenye urais na wamehamishia Nguvu kwa Mwigulu.
Kwasababu hizo ameamua kumvuruga Rais kupitia Usalama wa TAIFA kwa kuwatisha viongozi wa usalama wa zamani na sasa, kama ilivyoonekana hapa jamvini kuhusu habari za Mzee Mwangonda ambaye alifanya kazi kubwa sana kuboresha maslahi ya wana usalama nchi nzima.
Mzee Mwangonda ambaye ni mkulima wa Kawawa huko Mbozi siku hizi ametukanwa akihusishwa na UKAWA na lowassa kwa makusudi kabisa ili wafarakane na Mkurugenzi wa sasa Othman na yeye Membe afanikiwe kumfukuza Othman , mpango wake wa miaka mingi.
Jamani mgombane kwa URAIS lakini msiguse idara muhimu ya usalama wa TAIFA , mtatuua. Nawasilisha
Kama hujui kitu uliza kwanza. Ukishapachika mtu jina la uongo umejifungia mlango wa kujua alitaka kusema nini. Unakumbuka kisa cha kuungua Ikulu? Na Kikwete kuingia mamlakani? Jazia mwenyewe.
The most ridiculers part ndo yenye ukweli na uhalisia mwingi Mkuu...
Peleka M.A.V.I. Yako Huko Kwenu Mbwinde Na Tuachie Kariakoo Yetu. Kuna Nini Leo Mbona Threads Za Wadau Wengi Humu Wanazielekeza ktk K.U.N.Y.A...................K.U.N.Y.A? Vyoo Vyenu Vimejaa AU Ndiyo Mnatafuta Visingizio Na M.T.U.N.Y.E.E?
mnataka kuniambia hata mama salma amemkacha ndugu yake joka la mdimu????bas huu utakuwa ni muendelezo wa usaliti
Alimsariti vipi Mkapa acha Uongo wako ww ni jasusi gani hata hujui kuchambua data !
QUOTE=Bams;10383618]Ukiungwa mkono na kiongozi ambaye au hapendwi au hakufanya vizuri katika uongozi wake, nadhani ni sifa tosha ya wewe unayegombea kutostahili kuchaguliwa. Mimi nadhani mgombea akiungwa mkono na Kikwete, kutokana na utendaji wa Kikwete ambao haukuwaridhisha Watanzania walio wengi, itakuwa tayari ni disqualification ya kutokuchaguliwa. Kwa sasa wagombea wahangaike kuungwa mkono na Warioba, siyo Kikwete.[/QUOTE]PHP:
Imebidi nikugongee like kwa jinsi story ilivyokaa kama Willy Gamba,aka fiction mwanzo mwisho.
Nchi yetu ina matatizo mazito sana,yani kama unategemea watu waamini huu uporoto basi unaamini kwa dhati kabisa wasomaji wa huu mtandao ni darasa la 3-4 wenye IQ za kuku.
This is disgusting, please treat us with some sense of respect.
Huyo mgombea wenu mnaempigia debe si chagua la watanzania,ni chaguo la wachumia tumbo.good luck with that journey,Tanzania inahitaji fit person kutuogoza,sio mgonjwa.Lowasa ndio chaguo la Wananchi hilo halina mjadala,,,ukawa mtaishia kuwa vyama vya upinzani tu na uwaziri vivuli ndio size yenu!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums
Hapa si pahala pake.tuambie kwanini ikulu iliungua na kikwete kuingia madarakani vina uhusiano gani?
Ukitaka kuzijua vizuri habari Za marehemu Walingozi Mwulize Caroline Sanga !!!!
Ukitaka kuzijua vizuri habari Za marehemu Walingozi Mwulize Caroline Sanga !!!!
Huyu ''jasusi'' wa clip za mipasho kumbe hajaanza kusifiwa leo. Bado najiuliza hizi hasira zake ziliishia wapi?Katika kuelekea kinyanganyiro cha URAIS 2015, AFISA wa usalama wa siku nyingi Mhe Membe inasemekana amekasirishwa sana na habari za kusemekana kwamba familia ya Rais Kikwete haina mpango naye tena kwenye urais na wamehamishia Nguvu kwa Mwigulu.