Taarifa kutoka kwa waliochaguliwa Sao Hill

Kambiaso

Senior Member
Apr 2, 2012
145
120
Mnamo tarehe 29 june 2012 nilikua mmoja kati ya Shortlisted applicants tuliofanyiwa usahili Ofisi za Sao Hill Mafinga Iringa,nahitaji kujua kama tayari wameshaita majina ya waliofaulu usahili.
 
Mkuu unaulizia post gani?
Mimi nilifanya nao interview tarehe 10/07/2012 nafasi ya HRO japo majibu bado hawajatoa.
 
Back
Top Bottom