Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

Ulikua dogo nafikiri enzi hizo za 2015. Kilichotokea ni mwamunyange alitokeza kwenye hafla fulani akiwa na afya tele, jeshi halikua linapayuka payuka kama mlivyotaka. Na hii kama waziri mkuu hamtaki tamko lake basi endelezeni songi lenu mfarijike..

Linganisha statement ya msemaji wa jeshi, na maelezo yanayotolewa kuhusu jpm.
 
Hawa watu sasa wajitokeze adharani sio kuwasemea, hata akiwa nje anaweza ongea mwenyewe, kutofanya hivyo ni kuchochea watu wapendao uzushi, ni jambo baya sana na kuzua taaruki kwa ndugu!
 
Hawa watu sasa wajitokeze adharani sio kuwasemea, hata akiwa nje anaweza ongea mwenyewe, kutofanya hivyo ni kuchochea watu wapendao uzushi, ni jambo baya sana na kuzua taaruki kwa ndugu!
Watu waache kazi zao, waje kukufurahisha wewe na group lako la wapotoshaji?
 
Balozi aliulizwa swali na TV channnel ya Namibia, yeye ndio mwakilishi wa Tanzania pale, unafikiri angesema nini?
TISS wanajua ukweli ila wanakwepesha sijui kwa maslahi ya nani?
 
Hawa watu sasa wajitokeze adharani sio kuwasemea, hata akiwa nje anaweza ongea mwenyewe, kutofanya hivyo ni kuchochea watu wapendao uzushi, ni jambo baya sana na kuzua taaruki kwa ndugu!kuk
Kama kweli ni mgonjwa kukaa kimya kunawanyima watu fursa ya kumuombea kionhozi wao
 
TISS wanajua ukweli ila wanakwepesha sijui kwa maslahi ya nani?
Unafikiri rahisi eeh wananunua muda ili nchi ijipange kiuongozi. Ni jambo gumu sana kuliweka sawa inahitaji akili ndiyo maana uzandiki (subversion) unatumika tunalishwa propaganda kila siku huku ukweli ukifichwa. Smooth Transition of power ikishawekwa sawa tutaambiwa. Maombi na vilio vya watu vibaya sana sikutegemea kuwa hivi.

Sent from my N20 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna nini?
 
Back
Top Bottom