DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,214
- 704
Ume andika sana ila hujawa na uwalali wa kutetea siku hii ya j/pili kuwa ndio siku ya kuabudu ivo serekali iwape uhuru wa kuabudu Yaani siku ya kupigwa kura iamishwe iwe siku nyingine! Mnajenga hoja ambazo ziko nje ya Maandiko ndio maana hata serekali haiwezi kubali kwani siku ya j/pili haijawai tumiwa kama siku ya kuabudu ndani ya kitabu mnacho kitumia kama muongozo wa Imani sasa leo mnakuja na Malalamiko ya nini?, na MUNGU mwenyewe anaona mnadanganya Taifa na kakobe wenu kwani hakuna haki mlio nayo kuhusu j/pili kimaandiko. Hizo ni Taratibu zenu za kibinadamu na sasa zimekutana na Taratibu zingine za kibinadmu sasa tatizo liko wapi? Kuabudu j/pili sio mpango wa MUNGU bali ni Mapokeo ya mwanadamu na leo hii mwanadamu kasema j/pili wote kupiga kura mna laumu nini!!!!! Naendelea kuwashangaa na kakobe wenu Yani nikama mnatumia Biblia ingine sio ile ya kweli.
Sema semaaaaa....... wakirudi wapewe na vifungu!