Habari wadau. Naomba niwaulize jaman kuna yeyote anajua kampuni hyo ina deal na nini? Niliapply kazi sasa leo nimepokea sms ikitaka nitume 45 elfu ili nipate kazi. Na mshahara wa kwanza nitatoa laki4 nimpe huyo alotuma sms.
Jaman hapa si ndo nataka kuibiwa ? Maana kwa style hii wenzangu wangapi wametumiwa sms?
Jaman hapa si ndo nataka kuibiwa ? Maana kwa style hii wenzangu wangapi wametumiwa sms?