Waandishi Wetu
MCHUNGAJI Ambilikile Masapila anayetoa tiba ya magonjwa sugu katika Kijiji cha Samunge, Loliondo amewataka wagonjwa kuendelea kutumia dawa za hospitali hata baada ya kunywa dawa yake.Akizungumza kijijini hapo jana, Mchungaji Masapila alisema hakuna madhara kwa mgonjwa kuendelea na dawa zake za awali hata baada ya kunywa dawa yake na kwamba si vyema kuacha ghafla kutumia dawa hizo.Hii dawa yangu inatibu, lakini haizuii kunywa nyingine, unaweza kunywa na ukiona umepona kabisa usiendelee kunywa dawa hizo, alisema.
MWANANCHI.
Habari hii imeandikwa na Salim Mohamed, Neville Meena na Mussa Juma, Samunge.
Mi nikisema babu asimhusishe Mungu kwenye hizi habari naona niko sahihi kabisa.
hahah, huyu mungu wake kiboko. nilisoma pia kuwa kaongeza na magonjwa yanayoweza kutibiwa zaidi ya yale matano ya awali. sasa anatibu mpaka nguvu za kiume na ugumba! nadhani atakuwa kaangalia hali halisi ya soko!
lakini serlikali nayo imezinduka, jana gazeti la mwananchi ilmesema serkali inakamilisha hatua za kumsajili kama mganga wa tiba za jadi
taratibu, yanadhihirika
uko SAHIHI KABISA. Maskin ya Mungu nafsi imeanza kumsuta wa2 wanavyokufa hta baada ya kupata kkombe imebd aseme ukwel! Na bdo kn cku atasema nmeongea na Mungu amenambia nistop kutoa dawa mpk atakaponambia tn! 2endlee kumckilza had 2one mwsho wke!
wangezrai c ingekuwa afadhal! Yan watakufa wte kw mkupuo km kuku waliopitiwa na Kideri. Ndo watajuta kumgeuza babu Mungu wao. Tena mi napatwa na mahacra huyu mbabu anapotangaza tn bla aib et ameongea na Mungu!! Labda Mungu wa kinyakyusa! Ye atoe dawa ila aache kujfnya anaongeaga na Mungu! Wataoteshwa weng mwaka huu! C umeona na yule mama wa Tabora jana Tbc1? Wajinga ndo waliwao!
Waandishi Wetu
MCHUNGAJI Ambilikile Masapila anayetoa tiba ya magonjwa sugu katika Kijiji cha Samunge, Loliondo amewataka wagonjwa kuendelea kutumia dawa za hospitali hata baada ya kunywa dawa yake.Akizungumza kijijini hapo jana, Mchungaji Masapila alisema hakuna madhara kwa mgonjwa kuendelea na dawa zake za awali hata baada ya kunywa dawa yake na kwamba si vyema kuacha ghafla kutumia dawa hizo."Hii dawa yangu inatibu, lakini haizuii kunywa nyingine, unaweza kunywa na ukiona umepona kabisa usiendelee kunywa dawa hizo," alisema.
MWANANCHI.
Habari hii imeandikwa na Salim Mohamed, Neville Meena na Mussa Juma, Samunge.
Mi nikisema babu asimhusishe Mungu kwenye hizi habari naona niko sahihi kabisa.
Dawa hii ni lazima unywee hapa hapa na si mahala pengine na mtu anayetakiwa akunyweshe ni mimi tu
Mchungaji Masapila pia alisema kazi ambayo amekuwa akifanya kwa saa zaidi za 13 kila siku, haimsumbui akidai kwamba tayari alikwishamuuliza Mungu kwamba atawezaje kutoa tiba kwa watu wengi ilihali ni mzee na akaelezwa kuwa ataongezewa nguvu.
Naishukuru Serikali maana naona wananiunga mkono, hii ni dawa kutoka kwa Mungu na wala sio mti pekee na nilijua wakipima hawatakuta madhara yoyote kwani Mungu alikwishanieleza kuwa watapima wataalamu wa ndani na nje ya nchi dawa hii na watakuta haina madhara
Hakuna madhara kwa mgonjwa kuendelea na dawa zake za awali hata baada ya kunywa dawa yake na kwamba si vyema kuacha ghafla kutumia dawa hizo
Na hizi ni baadhi tu ya kauli za "babu"
Naomba CONCLUSION.
So according to utafiti juu ya huo mti anaoutumia babu, Ni nini kinatibu?
Ni mti? au Babu? au Mungu wa Babu?
asante kwa kutujuza juu ya huo mtanda-mboo
Binafsi nadhani Mungu anakusudi na kila mwanadam,na akitanka kiumbe chake aendelee kuishi basi hilo halina mpinzani,ukisoma vitabu vingi vya dini wapo watu walioteshwa na wapo watu waliongea na Mungu,lkn pia si watu wooote tukinywa panadol tunapona hapana mtu mwingine ni mpaka atumie Hedex au dawa nyingine tofauti.
My take ni:Si wooote watakao enda kwa babu watapona kupona kunategemea Imani na hasa kusudi la Mungu ww kuendelea kuishi.
Babu hawezi kuzuia kifo,so kila mtu kwa wakati wake atakufa hata kama umekunywa dawa ya babu dakika 5 ilizopita.
Kuna watu amabao wako stages mbaya sana za ugonjwa amabo kurecover it will take time and mostly Gods mercy.
lkn zaidi ya yoooote hatulazimishwi kunywa kikombe.
Vere simpo huu mti ambao babu anautumia kenya wamekuwa wanaufanyia utafiti miaka minne iliyopita.
Uganga wa kienyeji una ushindani kama sekta nyingine kwa hiyo ndio maana unaona watu kama "babu" na "bibi" wameamua kuwa innovative kutumia jina la Mungu ili wapate wateja. Kwahiyo hata wewe Ndibalema unaweza kuchemsha tu mugariga au mtanda - mboo ukatibu watu ila inahitaji moyo kusema umetumwa na Mungu!
nami pia nimeoteshwa....wangezrai c ingekuwa afadhal! Yan watakufa wte kw mkupuo km kuku waliopitiwa na Kideri. Ndo watajuta kumgeuza babu Mungu wao. Tena mi napatwa na mahacra huyu mbabu anapotangaza tn bla aib et ameongea na Mungu!! Labda Mungu wa kinyakyusa! Ye atoe dawa ila aache kujfnya anaongeaga na Mungu! Wataoteshwa weng mwaka huu! C umeona na yule mama wa Tabora jana Tbc1? Wajinga ndo waliwao!