tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
tinna cute naona unataka kuwa lowassa sasa(una resign)
Nikiwa kama rais wa mabachela(single) na waziri wangu mkuu tinna cute tunatangaza kuwa sisi hatutakua na valentine day kabisa,kufeli kufuata maagizo hayo utakua umejiondoa.
ANGALIZO:mlio na wake zenu na wachumba fanyeni yenu mnayoona yanafaa
Sam Love and tinna cute
Mme acount budget ya sabuni, au mnaongea tu?
bora unamjua ,Njoo kwangu......cool bouy achana na mabazazi
umeona hee waharhbifu haoNina wasiwasi na nyie mjiitao single....
Asilimia kubwa sana mnacheza mechi zisizo rasmi, sio za ligi wala za mchangani...