Taarifa:hakuna valentine day kwetu ma single

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Nikiwa kama rais wa mabachela(single) na waziri wangu mkuu tinna cute tunatangaza kuwa sisi hatutakua na valentine day kabisa,kufeli kufuata maagizo hayo utakua umejiondoa.
ANGALIZO:mlio na wake zenu na wachumba fanyeni yenu mnayoona yanafaa
Sam Love and tinna cute
 
Last edited by a moderator:
Mkare wenu udouble,soma thread
 
Last edited by a moderator:
single boy/boy girl anapotendwa hulia machozi halisi!
 
Nikiwa kama rais wa mabachela(single) na waziri wangu mkuu tinna cute tunatangaza kuwa sisi hatutakua na valentine day kabisa,kufeli kufuata maagizo hayo utakua umejiondoa.
ANGALIZO:mlio na wake zenu na wachumba fanyeni yenu mnayoona yanafaa
Sam Love and tinna cute

Mme acount budget ya sabuni, au mnaongea tu?
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi na nyie mjiitao single....
Asilimia kubwa sana mnacheza mechi zisizo rasmi, sio za ligi wala za mchangani...
 
sam love, ommy dimpoz,diamond feat tinna cute
 
ujumbe umepokelewa.ila jiangalie ucje fumaniwa na baby wa mtu.
 
Nikiwa kama rais wa mabachela(single) na waziri wangu mkuu tinna cute tunatangaza kuwa sisi hatutakua na valentine day kabisa,kufeli kufuata maagizo hayo utakua umejiondoa.
ANGALIZO:mlio na wake zenu na wachumba fanyeni yenu mnayoona yanafaa
Sam Love and tinna cute

Uwiiiiii, kaa ukijua me ni timu isiyossjili mchezaji wa kudumu,,,,,, naweza ingia simba fc nikachukua striker wa kuazima akifunga magoli ya kutosha mkataba kwisha.
 
Last edited by a moderator:
tinna cute naona unataka kuwa lowassa sasa(una resign)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom