Uswazi enzi hizo kwenye sherehe za kukesha na muziki tuliita vigodoro nyimbo za taarab zilichukua nafasi kubwa sana. Ndio zilizomtoa Msagasumu. Na ndio nyimbo zilizozaa singeli kutokana na kuweka machombezo katika wimbo wanaita radha.
Sasa nawapa usiaaa
Mpendapo mtazame
Wengine si wanaume
Wengine magumegume
Rusha roho taratibu
Tena nyuma utazame
πππ ila mama Zuchu. Enzi hizo hata Zuchu hajulikani