Taafikiane hili kwanza

Taafikiane hili kwanza

Mapenz ni starehe Wala siyo ugomvi.....na unapoenda kuonana na mwenzio unajua kabisa waenda kustarehe.....sasa tukubaliane kwenye faragha zetu ni ruksa kushikwa popote Ili mradi tu najisikia vizuri kufanya hivyo

I mean tusipangiane pa kushika... wanawake wastaarabu kidogo hawana Ubishi mwingiii....nyie wanaume mmenielewa? Nauliza mmenielewa?

NB:Likizo ndo imeanza msiponipa Kaz ya kufanya hakika mie siku njema wapendwa😘😉
Kiasili mwanamke hana maamlaka katika mamuzi wakati wa tendo ..... mfano hatakama unataka uhuru huwezi nishika tako bwana stim zote huwa zina kata au kama una agenda nyingine
 
Mapenz ni starehe Wala siyo ugomvi.....na unapoenda kuonana na mwenzio unajua kabisa waenda kustarehe.....sasa tukubaliane kwenye faragha zetu ni ruksa kushikwa popote Ili mradi tu najisikia vizuri kufanya hivyo

I mean tusipangiane pa kushika... wanawake wastaarabu kidogo hawana Ubishi mwingiii....nyie wanaume mmenielewa? Nauliza mmenielewa?

NB:Likizo ndo imeanza msiponipa Kaz ya kufanya hakika mie siku njema wapendwa😘😉
Kuna sehemu mwanaume haguswi.. Labda kama umedhamiria nikuharibu reception (usoni)
 
Bado bado.....labda jionijion🤣🤣🤣
Screenshot_20230602-160035_(1).png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom