Taafikiane hili kwanza

Taafikiane hili kwanza

Mapenz ni starehe Wala siyo ugomvi.....na unapoenda kuonana na mwenzio unajua kabisa waenda kustarehe.....sasa tukubaliane kwenye faragha zetu ni ruksa kushikwa popote Ili mradi tu najisikia vizuri kufanya hivyo

I mean tusipangiane pa kushika... wanawake wastaarabu kidogo hawana Ubishi mwingiii....nyie wanaume mmenielewa? Nauliza mmenielewa?

NB:Likizo ndo imeanza msiponipa Kaz ya kufanya hakika mie siku njema wapendwa😘😉
Kwaiyo unatak kushika kalio ..😅
 
Screenshot_20230602-154414_(1).png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom