apo wengi sana unaweza kuta huyu mama kaolewa anahangaika baba ni mlevi kisha mama akija na kidogo hichi anamkaba anamnyanganya ,,,,, majianaume mengine bora yangezaliwa MAKAPU YAENDEE SOKONIDa mbona mnaumiza watu? ninavyohangaika na watoto huku mhusika akitumbua maisha huwa siamini wanaume wengine wameumbwaje? kula maisha baba iko siku utakuja na kisukari, BP ukidai watoto uliowatupa wakutibu.
halafu kanamwambia mamake ondoa ulofa wako hapa usiniingilie maisha yangu, hata wewe si ulibeba mimba?Ili kabinti kasome.
Baada ya miaka miwili ya sekondari kanabeba mimba.