TAAAAA----NEEEEE---------SKO ----- VS---------MAFUTA YA TAAaaaaaaaaaaa

TAAAAA----NEEEEE---------SKO ----- VS---------MAFUTA YA TAAaaaaaaaaaaa

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
Katuni+July+27.jpg
 
Ni mwendo wa kupata bakora tu kila upande tunaogeukia
 
yaani siku hizi mwenye gari na kibatari ngoma droo
 
kudadeki kumbe wanakula dili eeeh... sasa nitatengeneza mishumaa yangu mwenyewe ngoja nianze kwenda kwenye zile semina za mjasiriamali
 
Jamaa aliyeposti kuwa "the Government is f**king us" alikua sahihi sana!
 
Hapo hatuwezi kuchomoka kwa hali kama hii lazima tulie tena sana!!!!!
 
Back
Top Bottom