nimewashiwa leo hio taa mida ya saa tisa mchana.
tatizo la muwashaji ni hilo tu hakuwa muwazi, uwazi wenyewe unaletwa na uoga tu kwa vile labda anaogopa kutaja neno ' I LOVE YOU'..
hii taa sometimes sio nzuri kwa sababu inaweza kutumiwa vibaya na playboys kwa vile tu kawashiwa na wengi, basi atataka atoke nao wote...
comparative advantage..