aiseeee naomba taa nyekundu isiniwakie kwenye safari yangu ya mapenzii milele vinginevyo niiwashe mimi
Kuwashiwa unaogopa maumivu, unaona labda unwashed wewe, huogopi kumuumiza mwenzio?
aiseeee naomba taa nyekundu isiniwakie kwenye safari yangu ya mapenzii milele vinginevyo niiwashe mimi
aiseeee naomba taa nyekundu isiniwakie kwenye safari yangu ya mapenzii milele vinginevyo niiwashe mimi
Kwenye sheria za barabarani kuna taa za aina tatu kijani nyekundu na njano
Kijani ni kuruhusiwa kupita au kuendelea na safari
Njano ni tahadhari ya kujiandaa kupita au kusimama
Nyekundu ni hatari usipite
Kwenye mahusiano taa hizo pia zinahusika sana
Kijani umepewa ruhusa hata kama si ya maneno dalili zitaonyesha tu umeshapendwa au umeshakubaliwa
Njano ina mawili ni tahadhari ya kuachwa kama usipojirekebisha na mambo fulanifulani saa nyingine mfuko unahusika
Red ni mbaya ukiwashiwa taa hii ujue ndo kwaheri umeshakula kibuti
kumbuka taa ya kijani ni tamu sana ila red imebeba maumivu !tumo safarini na kila siku kila saa hizi taa zinatuwakia kama kama zinavyowaka zile za barabarani
mkuki kwa nguruwe eeeeeeeeeeeeh...
uwashe wewe kisa?? mwenzio hana mikono au
aiseeee naomba taa nyekundu isiniwakie kwenye safari yangu ya mapenzii milele vinginevyo niiwashe mimi
lolote upendalo kufanyiwa na wengine nawe watendee hivyo hivyo!!!
hahahaha mikono anayo tatizo nikiona hapakaliki wala kusuluhishika heri nimuwahi mapemaaaaaa kabla jogoo hajawika
Tunaishi katika dunia inayozunguka nothing last forever kuna usiku kuna mchana kuna kupata kuna kukosa nk nk !!!ukiona umependwa ujue kuna mjinga kaachwa ukiona umeachwa ujue kuna mjanja kapendwa ndio maisha yetu mpaka tunakufa .Kumbuka mapenzi kama maisha ya binadamu wanyama miti mimea na vingine vingi huzaliwa kukua na kufaKwasheria za barabarani wewe ukiwashiwa red kuna mwenzako kawashiwa green (anaendesha) na mwengine kwake inawaka yellow. Je mshana jr na huko ulikozungumzia wewe ni same?