KWA TZS 15,000/= TU! SAHAU MGAO WA UMEME
Mkuu buji buji. Hiyo ni kwa matumizi ya taa tu. Na ndio maana inatwa taa ya ajabu na si jenereta.
Asante & Karibu!
Una maana gani kwa kubonyeza?.
Inawaka masaa mawili then what?ama unabonyeza tena?
JE UMECHOSHWA NA HALI YA SASA YA MGAO WA UMEME?View attachment 22728View attachment 22729
JE, VIPI KUHUSU BEI YA MAFUTA KUPANDA, HAIKUUMIZI? NA
JE, VIPI KUHUSU ATHARI ZA MSHUMAA, HUZIOGOPI?
KAMA MAJIBU YAKO KWA MASWALI HAYO HAPO JUU NI NDIO, SULUHISHO LIPO. NALO NI....
CRANK BOXINAWAKA KWA ZAIDI YA MASAA 2 KWA KUBONYEZA TU.
- HAITUMII BETRI
- HAITUMII UMEME WA JUA
- HAITUMII MAFUTA YA TAA/PETROLI/DISELI
- WARANTI YA MWAKA MMOJA KWA MAUZO YOTE
KWA TZS 15,000/= TU! SAHAU MGAO WA UMEME..
Fika dukani kwetu kwa maelezo zaidi.
Tupo Mbezi Beach - Samaki Karibia kabisa na kituo cha dalala dala.
AU
Tupigie simu: 0653 297681/ 0659 381812.
this is a nice product,hasa vijijini,how many cycles do u have to crank kupata hiyo 2hrs of linght.
Je bei ya jumla ni kiasi gani??
alafu pale Samaki kuna vituo viwili in each side of the road. Bora useme duka lako liko upande gani na kama lina Jina
Ahaaaa yani mtu anasahau kabisa maswala ya msingi kwa ajiri yakutangaza biashara yake!!akiliimemhama!!!Kweli hii ni taa ya ajabu, yaani inawasha ma friza, microwave na vitu vya nyumbani kwa buku 15 tu!!!!!!!!
JE UMECHOSHWA NA HALI YA SASA YA MGAO WA UMEME?
JE, VIPI KUHUSU BEI YA MAFUTA KUPANDA, HAIKUUMIZI? NA
JE, VIPI KUHUSU ATHARI ZA MSHUMAA, HUZIOGOPI?
KAMA MAJIBU YAKO KWA MASWALI HAYO HAPO JUU NI NDIO, SULUHISHO LIPO. NALO NI....View attachment 22728View attachment 22729
CRANK BOX
INAWAKA KWA ZAIDI YA MASAA 2 KWA KUBONYEZA TU.
- HAITUMII BETRI
- HAITUMII UMEME WA JUA
- HAITUMII MAFUTA YA TAA/PETROLI/DISELI
- WARANTI YA MWAKA MMOJA KWA MAUZO YOTE
KWA TZS 15,000/= TU! SAHAU MGAO WA UMEME..
Fika dukani kwetu kwa maelezo zaidi.
Tupo Mbezi Beach - Samaki Karibia kabisa na kituo cha dalala dala.
AU
Tupigie simu: 0653 297681/ 0659 381812.
After 2 hours unatupa we umjui mchina hahahaaa