Columbus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,002
- 648
Kutokana na mikasa inayolikuta taifa letu kwa sasa naomba kuwasilisha, hivi kweli mainjinia wa Taa Nesco wanaruhusu kitu hiki kufanyika? hivi hawa wanastahili kulipwa kwa kazi waliyokamilisha? mimi sio injinia naomba wenye proffessional zao wanijuze na wahusika warekebishe nchi nzima kabla hatujapatwa na mengine.