Tatizo la wananchi sio ofisi ni kutatuliwa shida zao na siasa safi kama ofisi mbona ccm wana magorofa makubwa na bado mambo magumu kwa watuChadema mngekuwa mnatumia nguvu kubwa kiasi hiki na kwenye maendeleo chama chenu kisingekosa ofisi kwa miaka 20!!!!!