Wakuu Salaam,
Nchi yetu kwa hakika inapitia njia na kipindi cha mseleleko kuelekea kwenye giza totoro. Kwa kila raia ambaye bado ana nuru ya kung’amua yanayoendelea, shime afanye lililo ndani ya uwezo wake kukataa mseleleko huu wa kulekeza nchi gizani.
Nakusudia kuchapicha T-shirts zenye nembo na kauli mbiu “Gwajimarize Tzii” or “Gwajimarize Tanganyika” ili zitusaidie tulio tayari kusimama kuhesabiwa kupeleka ujumbe kwa wanaotuongoza kuelekea gizani.
Naomba maoni yenu juu ya kauli mbiu na njia salama ya kusambaza T-shirts ili ujumbe ufike kwa kishindo.