Ni special bossMkuu ni mtumba au special
Ni special bossMtumba au?
Kwa kuangalia ni mtumba grade A
Hahahahaha, mchina huyo ,ni orijinoKwa kuangalia ni mtumba grade A
Kwa kuangalia ni mtumba grade A
Nitajuaje kama ni original belo zimetoka nchi ganiHahahahaha, mchina huyo ,ni orijino
Mchina hauzagi nguo ama kitu chochote original kwa wamatumbi, naomba ulishike hili.Hahahahaha, mchina huyo ,ni orijino
Nitajuaje kama ni original belo zimetoka nchi gani
Nilizani zimetengenezaa china ila zinatokea bara la ulayaBelo zimetoka China, unaweza ukaja kuangalia sample ili kuhakiki kama ni mpya
Hahahahaha, kumbe eeh ,ila hiyo sio fekiMchina hauzagi nguo ama kitu chochote original kwa wamatumbi, naomba ulishike hili.
Hujui lolote kuhusu bidhaa feki za kichina kusambaa kwa wamatumbi.Hahahahaha, kumbe eeh ,ila hiyo sio feki
Hahahahaha we unayejua tusaidie ,maana wabongo mnajua kuongea tu kutoa suluhisho,hamjuiHujui lolote kuhusu bidhaa feki za kichina kusambaa kwa wamatumbi.
Bidhaa feki za kichina kwa wamatumbi ndio sokoni pa bidhaa hizoHahahahaha we unayejua tusaidie ,maana wabongo mnajua kuongea tu kutoa suluhisho,hamjui
Oooh hapo sawa,Bidhaa feki za kichina kwa wamatumbi ndio sokoni pa bidhaa hizo