Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,088
- 4,089
Ni kesho 23 kwa taarifa yaliyoitia ile sikuLeo yanatoka NBAA yanakwenda TRA. Kama sijakosea
Ni kesho 23 kwa taarifa yaliyoitia ile sikuLeo yanatoka NBAA yanakwenda TRA. Kama sijakosea
Unavyosema 50 sijui 85 una maana gani?kwamba wamechukua mwisho wenye marks 85?Km hujavuka 50 sijui 85 hesabu umewekwa pembeni kwanza waachie waliovuka hio pass mark
Mie najua nishaaga haya mashindanoKesho tarehe 23 sio leo kesho kutwa TRA wanayaweka tayari tarehe 25 wanayatoa muyaone kwa hio km hujavuka 50 sijui 85 subiri written interview nyingine ukajaribu tena
Haieleweki kwani pass mark ni 50 au 85?Unavyosema 50 sijui 85 una maana gani?kwamba wamechukua mwisho wenye marks 85?
Kwani wewe uwezo wa kufikisha 50 au 85 huna?Mie najua nishaaga haya mashindano
Hujafikisha pass mark 50 au 85 subiri awamu ijayo awamu hii itakua imekupita kwa hio jipange upyaNi kesho 23 kwa taarifa yaliyoitia ile siku
Sijui passmark ni ngapi mimi mkuuHaieleweki kwani pass mark ni 50 au 85?
Ni 50 au ni 85?Sijui passmark ni ngapi mimi mkuu
Nimesema sijuiNi 50 au ni 85?
Basi subiria rungu la NBAA wataamua wenyewe km wataweka 90 au 95 watajua wao maana watu mmeenda wengi na lazima wawapunguze kwa namna yoyote wawachukue wachache kwa hio hata wakisema passmark 100 usilalamike idadi ni kubwaNimesema sijui
Ufaulu ukoje?Basi subiria rungu la NBAA wataamua wenyewe km wataweka 90 au 95 watajua wao maana watu mmeenda wengi na lazima wawapunguze kwa namna yoyote wawachukue wachache kwa hio hata wakisema passmark 100 usilalamike idadi ni kubwa
Amen!Mungu akawasaidie wenye uhitaji na ambao hawana marefa waliofanya vizuri wapite mtaani kugumu balaa
Mungu akawasaidie wenye uhitaji na ambao hawana marefa waliofanya vizuri wapite mtaani kugumu balaa

Wanajua NBAA na TRA mimi na wewe hatujuiUfaulu ukoje?
Mimi nina 95 mkuu,labda umeangalia vibaya😁Hujafikisha pass mark 50 au 85 subiri awamu ijayo awamu hii itakua imekupita kwa hio jipange upya
Wewe upo kwenye ile kamati ya NBAA au Babu yako ndio mmiliki wa NBAA kashakufungashia hizo 95 za mezani kwenye package yako?Mimi nina 95 mkuu,labda umeangalia vibaya😁
Nilijibu maswali vizuri mkuuWewe upo kwenye ile kamati ya NBAA au Babu yako ndio mmiliki wa NBAA kashakufungashia hizo 95 za mezani kwenye package yako?