Kumbe sio mimi tu nnae liona hiloHuyo nipsey husle kabebwa kwa kiki za kifo chake wala hana maajabu
Yuko lockup halafu mbona yeye ni trapper6IX9INE WAP?
Lil wayne hayupo au macho yangu?T.I. weighs in on the Top 50 rappers debate.
What do you think of his rankings?
View attachment 1227378
10Lil wayne hayupo au macho yangu?
yes kwenye top 20 zako kwasababu kila mtu ana vigezo vyake.J cole huko alipomweka sio nafasi yake..
J cole huwezi mtoa top 20
Ahahaaah...hahaha kwamba drizy Ni zaid ya nem
Yeah Ayo na Teo madogo wanani'inspire sana pamoja na Kida the great.Hahahahaa kwasababu ya hiyo avatar ya huyo dogo mateo
Hii list Cardi B lazima aifiche, Minaj asiione. Anaujua mziki wa bi dada Nick. Juzijuzi hapa alimtoa nundu mchana kweupeee!
The late great Eazy E na MC Ren wa NWA. Huwezi kuwataja Dr Dre na Ice Cube ukawaacha hawa wawili. Nate Dogg pia kama Drake naye ni rapper. Lord Jamar na Sadat X wa Brand Nubian. Hawa nao ni seriously underrated MCs in my opinion.
YupoLil wayne hayupo au macho yangu?