T.I ataja orodha ya marapa 50 bora

Mashabiki wa 2pac mniwie radhi
Tangu nmeanza kusikiliza nyimbo za 2pac mpaka sasa sioni maajabu yake aisee
Ni mtazamo wangu jamani
 
The late great Eazy E na MC Ren wa NWA. Huwezi kuwataja Dr Dre na Ice Cube ukawaacha hawa wawili. Nate Dogg pia kama Drake naye ni rapper. Lord Jamar na Sadat X wa Brand Nubian. Hawa nao ni seriously underrated MCs in my opinion.
 
Na common katupwa nje? Hata pliers ni zaidi ya b boi na mwenzie...simuoni treach...yule jamaa wa onyx na wale jamaa waliimba ante it up na lost boys yote hasa mr chicks na freacky tah
 
Scarface...
The late great Eazy E na MC Ren wa NWA. Huwezi kuwataja Dr Dre na Ice Cube ukawaacha hawa wawili. Nate Dogg pia kama Drake naye ni rapper. Lord Jamar na Sadat X wa Brand Nubian. Hawa nao ni seriously underrated MCs in my opinion.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom