Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,138
- 51,783
1- kwanza system upgrades zinaenda mpaka 3 years, itategemea wana upgrade infrastructure zipi na time frame1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo.
2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja wanataabika kwa kukosa huduma ila hawajali. Pesa inatoka kwenye akaunti ila huipati na call centre hawapokei simu wala nini. Toka Jumamosi - Jumatano nimepata hasara kwenye biashara yangu. Sijui nani atanifidia
2- ukisema ni mpango maalumu? Kuna mwenye taarifa za ndani why wafanye upgrade kipindi hiki?
After upgrade kuna mabadiliko gani kihuduma kwenye platform zao zote?