SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo.
2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja wanataabika kwa kukosa huduma ila hawajali. Pesa inatoka kwenye akaunti ila huipati na call centre hawapokei simu wala nini. Toka Jumamosi - Jumatano nimepata hasara kwenye biashara yangu. Sijui nani atanifidia