System Developers EAC tumelala, huu mchongo wa Tanzania umeenda India, software $30 million USD

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Nawaza hapa kwa nia njema, wadau tunakesha tukiachia software za kishua tu huko nje zinatumika, ina maana hatujafikia kiwango cha kushawishi hizi serikali za ukanda huu, mpka ERP inafuatwa India kwa gharama ya milioni 30 dola za Kimarekani. Hela ndefu sana hiyooo.

=========

A statement released yesterday by TANESCO said the contract for Corporate Management System (CMS) was entered with Tech Mahindra at TANESCO Head Office in Dodoma.

Maharage Chande, TANESCO Managing Director, said signing of the contract was necessary for the company to achieve efficiencies, which is among the company’s seven themes, others being people, customers, strategic projects, resource mobilization, communication and stakeholder’s engagement and risk and governance.

“Implementation of this system is necessary for us to do our job and deliver efficiently and effectively, not only to our customers but also to our staff. This includes modernizing our core operations, our internal applications to accelerate innovation as we match forward to provision of best services to our customers” he said.

“In the next 30 month, we will be automating our services to the system, this we will help us have the visibility, allocate effectively and deliver value and quality to our customers.”

Prasad Kotikela, Head - Africa, Tech Mahindra, said, “Our aim is to significantly boost TANESCO’s digital readiness to best serve the citizens of Tanzania and simultaneously reduce their cost of ownership by automating aspects of their Application and network infrastructure using Technologies as GIS, Drone, SAP ERP, Billing and Customer care solution based on world class IT Infrastructure.”
“This is a step towards elevating Tech Mahindra’s Utility offering across the continent to help make Tanesco the vision of Digital ready Utility.”

Together, TANESCO and Tech Mahindra aim to improve the agility in rolling out and supporting future ready Applications, networks, while improving returns on investment through technology-led transformation. The contract is worth USD 30 million.

TANESCO, an integrated power utility is engaged in entire value chain of generation, transmission & distribution across Tanzania and is currently transforming itself into a digital enterprise, deploying the full spectrum of technology.

Source: IPP Media
 
Mi naona ili ni kosa la TANESCO yenyewe. Maana kama Serikali imeweza kutengeza Custom ERP yake inayotumiwa Wizara zote na Government Agencies hapa hapa Tanzania, sidhani ingeshindikana kwa TANESCO.

Mi naona wamekurupuka tu.
 
Mi naona ili ni kosa la TANESCO yenyewe. Maana kama Serikali imeweza kutengeza Custom ERP yake inayotumiwa Wizara zote na Government Agencies hapa hapa Tanzania, sidhani ingeshindikana kwa TANESCO.

Mi naona wamekurupuka tu.
Mi naona wamepigwa na upuuzi wao wa eGovt na National IDC yao pale Kijitonyama! mbona wasiende kwa Mjerumani mwenyewe aliyeanzisha SAP ERP system? Kulikoni dalali?
 
Mi naona wamepigwa na upuuzi wao wa eGovt na National IDC yao pale Kijitonyama! mbona wasiende kwa Mjerumani mwenyewe aliyeanzisha SAP ERP system?
Wamepigwa kweli. $30M si mchezo. Yaani serikali bilioni wanaona kama buku sijui.

Huwa siwaelewi wanavyo chezea hela.
 
Wadau wenu wanatafuta mahali pa kukulia. Yaani software ya ksh 3 billion? Dadeki kwani ni ndege mpya ya Boeing? Halafu ni software ya shirika moja sio serikali nzima. Wacha wakule tu, walaji hao wakipatikana wanyongwe tu.
 
Wadau wenu wanatafuta mahali pa kukulia. Yaani software ya ksh 3 billion? Dadeki kwani ni ndege mpya ya Boeing? Halafu ni software ya shirika moja sio serikali nzima. Wacha wakule tu, walaji hao wakipatikana wanyongwe tu.
Hizo dollar 30 mil kwa Tz ni pesa ndogo sana maana huku watu wanaiba hadi US$600millions nani mtu mmoja kaiba mwaka Jana mbaka leo hajafungwa
 
Hizo dollar 30 mil kwa Tz ni pesa ndogo sana maana huku watu wanaiba hadi US$600millions nani mtu mmoja kaiba mwaka Jana mbaka leo hajafungwa
Hahaha. Africa sijui tulirogwa na nani. Watu ni wezi hatari.
 
20% watazipataje sasa...

Hapo zitaanza safari za training kwenda India...
Watu watapiga kwenye SLA (Service Lease Aggrement)
Watu watapiga kwenye maintenece cost...

Alafu system ikiwa down, watalipiwa ndege na hotel kuja kutatua tatizo pia watu watapiga...

Mpaka raha yani...
 
Hii serikali nilisema imejaa wakora,yaani nashangaa mtu anyendelea kuinga mkono,J.Makamba alipataje uwaziri??
 
Back
Top Bottom