Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
google hii kitu zorro z3 mali mpya hiyo, wapi rich wamavoko?
google hii kitu zorro z3 mali mpya hiyo, wapi rich wamavoko?
Mkuu, njunwa wamavoko unaitwa huku.
Nshampa majibu yake hapo juu
Hiyo kitu ni mpya kweli lkn Kamuni ni kongwe i.e kampuni iliyotengeneza A plus(A+) Dongle ndo wamiliki wa zorrobox Z3
Ktk ZorroBox Z3 wanatumia acc ya SKCAM...Hii Box imefanana copyright na Q13G isiokua RS 232 yake na acc yake tu
Vinginevyo interface wamecopy kwa qsat na Xmaster
Wanaosema Dongle boxes ziko OFF naweza sema sio kweli labda kugenerize kuwa zile za wachina ndo majanga
Lkn wale wanaotumia CCCAM server za europe ziko hewani
Nakuonesha zilivo na Nguvu mpaka Zile HD channels e.g SS3HD ziko hewani kwa CCCam
tatizo la CCCam bei yake majanga
Kuna moja inauzwa grupu fulani la FB la mambo ya IKS Dongles bei yake 80$ waloitumia wamethibitisha kwa picha kua zinafungu mpaka HD
nahisi tuwe wa pole wale wenye Decoder za makaburu nazo nasikia ni majanga kwao zimezima
Kwa sasa bora tuelekeze madish yetu AMOS 5 17A @17' E tuwafata TING walau tuangalie local na baadhi ya channel za FTA
mkuu mi natumia X Man G8 CCCam ya mchina inashusha mzigo kwafujo. G1,G2,G6 zimebuma
Hio kilo moja ni bei ya kununulia hicho kifaa cha cccam au ni ya kunilipia huduma? Je hio qsat inapatikana kwa bei gani mkuu?azsky zimebuma..qsat ipo hewani ila inasumbua wakati wa live games....cccam bado zinafanya kazi ila bei yake kubwa almost kilo moja.......atleast qsat users tunapata channel zote muhimu ila muda wa mechi ndo kiroho juu
Kwa maswali ya nyongeza ili thread isifutwe njoo PM
Nasema hivo maana thread yoyote ambayo huwa inataja hayo mambo hadharini ufungwa na mods
Natumia Azsky G6 tangu last week kitu hakionyeshi aisee yani balaa tupu na account ni ya mwaka...xoxoxo ni kingamuzi kipi kinaonyesha dstv kwa sasa?
Natumia Azsky G6 tangu last week kitu hakionyeshi aisee yani balaa tupu na account ni ya mwaka...xoxoxo ni kingamuzi kipi kinaonyesha dstv kwa sasa?
Angalia AZSKY hawana acc ya mwaka aliyekuuzia akakwambia hivo alikua na yake...
Kwa sasa angali SS3,SS5 na SS7
Kweli huu mwezi majanga tupu.. wiki imekata sijaona lolote ndani ya g6
Unapata za High definition?
Je kuzima kwake ni mara ngapi kwa mwezi?