ha ha ha mkuu ,ile ndege ni two seater,ujuwe kuna jetfighter single seat na two seater,lakini mandege makubwa kama B-52 bomber wanakuwa zaidi ya wawili,Elungata acha kupika habari Uwanja wa ndege wa Ben-Gulion haujafungwa na pia ndege vita F-16 aliwemo rubani tu kama kawaida ya ndege vita haiwi na watu wawili!!!.
rubani alietunguliwa.
.
Target alizohit israel,
mpaka sasa wanaojulikana kupoteza maisha ni wasyria wawili,syria defence service men huko suwayda.
-observation tower katika airbase T-4.
-SA-5 airdefence battery destroyed.
-SA-17 airdefence battery
-SA-2 battery
-iran mobile command unit
iran saegeh drone
Nyingine inakua wapo wawili kwa hio usibishe sanaSijakuelewa swali lako lakini uelewe ndege vita inapokuwa kwenye mission inaruka na rubani tu haibebi watu wawili kama alivyosema Elungata
Inategemea wewe na yeye nani katangulia kubandika uzi huyo ndio anapewa heshima.....Hata kama ni kazi ya mode, kwanini wakate uzi wangu afu wa uweke kwake,,, kwa nini wasikate uzi wake afu wa uweke kwangu?
Nyingine inakua wapo wawili kwa hio usibishe sana
Yani we kichaa kweli, hivi Reuters na hao wenzake si ndio waisrael wenyewe. Wacha asubutu tena kuvamia Syria kama mwanaume.Nenda Reuters,Haarez,New York Times,Sputnik utakuta taarifa za hilo shambulizi la pili.
Haya tuone kama atasogea tena, sikatai anaweza kusogea kujaribu tena lakini akisha angushiwa ndege ya pili ndio atabidi akimbie pale warudi walipo tokea. Mwisho wa Israel hauko mbali.Usicheze na Israeli wewe...wale jamaa kwenye ulinzi wa Taifa lao achana nao kabisa. Nakuhakikishia haifiki mwezi wa 6 watashambulia tena Syria. Hifadhi hii comment utaikumbuka.
ona huyu sungusungu nae anajifanya eti sio raia halafu hajui kama baadhi ya ndege vita zinakua na marubani zaidi ya mmojaWadanganye raia wasiojua!!!!
Jeshi la Israel linasema kuwa moja ya helikopta zake iliangusha ndege isiyo na rubani iliyoingia nchini mwake siku ya Jumamosi.Elungata acha kupika habari Uwanja wa ndege wa Ben-Gulion haujafungwa na pia ndege vita F-16 aliwemo rubani tu kama kawaida ya ndege vita haiwi na watu wawili!!!.
Mfano mzuri mwambie akaangalie ile movie inayoitwa "Behind enemy lines" by Owen Wilson.ona huyu sungusungu nae anajifanya eti sio raia halafu hajui kama baadhi ya ndege vita zinakua na marubani zaidi ya mmoja
Ndio maana nilishangaa eti F-16 imepigwa na kombora kutoka Syria. Hili tukio limebeba siri nyingi sana kuliko tunavyodhani. It's a big mistake IDF inafanya.Kile kikao kiliitishwa wakiwa wameshapiga mara ya pili,
ni baada ya kikao ndo msemaji wa kijeshi wa israel akaomba po...
By the way huyo ruban siyo myahudi,ni mwarabu
Mi huwaga sielewi hii kitu.. Israel anatembeza ndege zake anga ya Lebanon kama vile ni kwao.. Wameshambulia Syria zaidi ya mara kumi bila kuchokozwa.. Sasa Syria wamejibu mashambulizi wamekuwa magaidi tena? Hivi wewe mtu angekuja kwako akuchezee sharubu mbele ya mkeo ungemtizama tu? Ukijibu mapigo unakuwa gaidi?Mkuu miezi 6 uliyotabiri mingi sana kwa Israel kuvumilia; ameshawaliza vibaya tayari. Ni kichapo cha aina yake huko Syria tangu 1982; magaidi na wafadhili wao wanasaga meno mida hii. Hata wale wa hapa JF washasepa tayari.
Hutaki kuelewa kwa sababu unafiki umekujaa kila mahali. Nikupe mfano rahisi; una jirani yako anafuga vibaka purposely kukushambulia wewe na familia yako; kutwa kucha hawaachi kuingia shambani mwako au kukurushia vitu vya hatari. Funny eneough, kaona hiyo haitoshi kaamua sasa kujenga kiwanda cha zana na mifumo hatari ili vibaka wake watakapofanya mashambulizi usiweze kujibu mapigo. Utakuwa mpumbavu kupindukia kutochukua hatua juu ya harakati za jirani yako huyo.Mi huwaga sielewi hii kitu.. Israel anatembeza ndege zake anga ya Lebanon kama vile ni kwao.. Wameshambulia Syria zaidi ya mara kumi bila kuchokozwa.. Sasa Syria wamejibu mashambulizi wamekuwa magaidi tena? Hivi wewe mtu angekuja kwako akuchezee sharubu mbele ya mkeo ungemtizama tu? Ukijibu mapigo unakuwa gaidi?
Ile nayo ni mbinu mkuu......... Hata vita ikitokea kati ya Kenya na Tanzania mpakani halafu wakaona huku Dar ni Bata kama kawaida basi Wana shoot ili makao makuu napo wawe makini kutatua tatizoMkuu usisahau kuwa vita usidharau unaaepigana nae, hao Israelí walipelekwa mchaka mchaka na Hizbullah mpaka wakaamua kushambulia mji mkuu wa Lebanon ilhali wanajua kuwa mahasimu wao wanapatikana kwenye maeneo ya kusini mwa Lebanon kwenye mpaka na Israel.... Vita havitabiriki , omba salama TU
Ile nayo ni mbinu mkuu......... Hata vita ikitokea kati ya Kenya na Tanzania mpakani halafu wakaona huku Dar ni Bata kama kawaida basi Wana shoot ili makao makuu napo wawe makini kutatua tatizoMkuu usisahau kuwa vita usidharau unaaepigana nae, hao Israelí walipelekwa mchaka mchaka na Hizbullah mpaka wakaamua kushambulia mji mkuu wa Lebanon ilhali wanajua kuwa mahasimu wao wanapatikana kwenye maeneo ya kusini mwa Lebanon kwenye mpaka na Israel.... Vita havitabiriki , omba salama TU