Syria inafuatia baada ya Libya

Magaidi wajisalimisha kwa vikosi vya usalama Syria
Kanali ya televisheni ya Al-Akhbar ya nchini Syria imeripoti kwamba takriban watu 60 wanaodaiwa kuwa magaidi sugu wamejisalimisha kwa vikosi vya usalama vya Syria.

Habari zaidi zinasema kuwa magaidi waliojisalimisha wamekuwa wakijihusisha na mauaji ya raia wasio na hatia pamoja na askari usalama wa Syria katika mji wa Dar'a. askari usalama wamefanikiwa kutwaa silaha pamoja na sare za kijeshi kutoka kwa magaidi hao.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Feisal Mikdad amesema kuwa tangu kuanza machafuko huko Syria, watu wenye silaha wamewaua zaidi ya wanajeshi na maafisa wa usalama 1 200. Kuanzia mwezi Machi mwaka huu watu wenye silaha wanaoungwa mkono na nchi za Magharibi huku wakijifanya kuwa waandamanaji, wamekuwa wakiwaua raia wa kawaida, wanajeshi pamoja na maafisa wa usalama na kisha kuitupia lawama serikali ya Rais Bashar Asaad wa nchi hiyo.

SOURCE: Magaidi wajisalimisha kwa vikosi vya usalama Syria
 
Ajabu ya waandamanaji wa Syria siku waangalizi wa kiarabu wanafika na wao ndio wanazidi kuandamana baada ya kuonesha makovu ya vipigo vya kila siku.Halafu na askari wa Assad nao eti siku waangalizi wanafika na wao ndio wanazidi kuuwa watu.Ninachokusudia kusema ni kuwa hakuna vitu kama hivyo kwa waandamanaji wa kawaida wa kutafuta demokrasia,wenye kufanya hivyo lazima wamechochewa na makundi yenye kulipwa kufanya uchochezi.Na kam ni askari wa Syria kweli basi siku kama hiyo wangeficha makucha yao.
Waarabu oovyo kweli.Wamekuwa na akili kama za kuku wanauliwa na kupiganishwa huku wanacheka.
 
acha unabii utimie maana dunia yote lazima iwe chini amri moja ambayo demokrasia ndo msingi wake
 
acha unabii utimie maana dunia yote lazima iwe chini amri moja ambayo demokrasia ndo msingi wake
Ukipata muda, ifafanue hii demokrasia unayoihubiri hapa. Ni kama domokrasia iliyoko Japan? US? UK? Tz? Kenya? Libya? Russia? Ufaransa? Italy? Greece?
Au unakusudia NWO ya Illuminati?
 
Ajabu ya waandamanaji wa Syria siku waangalizi wa kiarabu wanafika na wao ndio wanazidi kuandamana ..

Wananchi wa Syria kweli wanataka mabadiliko;
Na matarajio yao ni kupata serikali thabiti zaidi ili kusaidia harakati za ukombozi wa Palestina.

Lakini kwa kutokujua mahitaji ya wananchi yule mkuu wa wapinzani (Syrian National Council) Mr. Burhan Ghalioun alichemka, alipokuwa akifanyiwa interview na Wall Street Journal huko Ufaransa aliropoka akasema kuwa atakata mahusiano na Iran na Syria.

Since then wananchi wakaona duh..hawa jamaa ndo kabisaaa bora tubakie na Asad wetu na ndo maana wanaamua kuunga mkono Serikali iliyopo.

Funzo:
Hapa tunajifunza kuwa ni lazima tufanye research kwanza ya matakwa ya wananchi kabla ya kuropoka or unless tuta loose influence na mwishowe ni aibu badala ya ushujaa.
-------------------------------
 
Wananchi wa Syria kweli wanataka mabadiliko;
Na matarajio yao ni kupata serikali thabiti zaidi ili kusaidia harakati za ukombozi wa Palestina.

Lakini kwa kutokujua mahitaji ya wananchi yule mkuu wa wapinzani (Syrian National Council) Mr. Burhan Ghalioun alichemka, alipokuwa akifanyiwa interview na Wall Street Journal huko Ufaransa aliropoka akasema kuwa atakata mahusiano na Iran na Syria.

Since then wananchi wakaona duh..hawa jamaa ndo kabisaaa bora tubakie na Asad wetu na ndo maana wanaamua kuunga mkono Serikali iliyopo.

Funzo:
Hapa tunajifunza kuwa ni lazima tufanye research kwanza ya matakwa ya wananchi kabla ya kuropoka or unless tuta loose influence na mwishowe ni aibu badala ya ushujaa.
-------------------------------
Unavyosema ni kweli lakini toa ushauri ni kwa vipi wananchi hao wa Syria wataweza kuhimili vitimbi vilivyomuangusha Ghadafi.
 
nani ataendesha costly war wakati nchi yenyewe haina mafuta watalipaje garama za iyo vita, libya walijua watarudisha investment, vita ni garama sana just imagine bomb 1 la hellfire missile linacost a zaidi ya mil. 100 sasa ktk vita yanarushwa mangapi! wanachagua vita itayolipa i think definetiily iran will be next!
 
Syrian security fires on protesters as monitors arrive, group says
CNN
JEE HII INAWEZEKANA?.MBONA PROPAGANDA ZIMEWAISHIA,AU TUSEME KWA VILE SYRIA HAKUNA AIR STRIKES MAMBO BADO HAYAENDI SAWA.
 

Nonda tafadhali ukituwekea mapya yaliyojiri kupitia video basi tupatie na muhtasari ya yaliyosemwa kwenye hiyo video.

Hapo juu kwa kifupi mtangazaji wa Press Tv anahojiana na profesa Michael Chossudovsky kutoka Canada wa Center of research for Globalisation.Kikundi cha waangalizi wa nchi za kiarabu wapatao 150 na watu wengine 20 katika pita pita yao Syria tayari wameanza kusema walichoona kabla hawajakamilisha uchunguzi wao.Wanasema wanachoona si kitu kibaya kama inavyotangazwa na vyombo vya habari vyenye mkono wa magharibi.Hili limewaudhi Ufaransa,UK na US na tayari wameanza kuitia kasoro tume hiyo ya kiarabu na wamekwenda mbali mpaka kumvunjia hadhi kiongozi wa kundi hilo,general Gabi kutoka Sudan.
Profesa anasema hii tume ilichosema ndio ukweli ulivyo na ndivyo alivyoona mwenyewe alipokuwa Syria miezi iliyopita.Anasema kuna vikundi vya kigaidi kutoka Libya,Turkey na nchi nyenginezo ambao wanafadhiliwa silaha na mataifa ya magharibi ili kufanya mauwaji nchini humo.Mwisho profesa Michael anasema ana shaka na kazi ya tume ya waarabu kwamba katika ripoti yao ya mwisho watashinikizwa kutoa taarifa inayokubaliana na matakwa ya nchi za magharibi ambayo ni hatimae kuhalalisha kupeleka majeshi ya kigeni Syria ili kumng'oa Bashar.
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na ukweli unavyodhihiri nchini Syria juu ya nani anayefanya mauwaji ipo haja kwa walimwengu kupeleka wachunguzi wao walio huru kule Nigeria ili kuzungumza na waislamu na wasio waislamu kuhusiana na habari za Boko Haram.
 
[h=3]Zionists target AL observation mission in Syria[/h]
The whining western ZOGs and their Arab poodles have now turned against the leadership of the Arab League Observation Mission (ALOM) in Syria which they choose themselves. They’re expecting that the director of ALOM, Mustafa al-Dabi, a former Sudanese general, like IAEA director general Yukiya Amano, will follow US dictation. To their great bewildement, Mustafa al-Dabi has described the situation in the opposition stronghold of Homs as “
reassuring
“.

The Zionist-friendly Al-Jazeera and London-based Syrian human rights group (SHRC) are not happy with Mustafa al-Dabi’s verdic and has started a vicious character assassination campaign against him based on his association with Sudanese President Omar al-Bashir who is wanted by Zionist puppet, the International Criminal Court, which has refused to investigate George Bush, Dick Cheney and Israeli generals for war crimes and crimes against humanity.

The old ghost of Jewish-created
‘Save Darfur’
is being resurrected against Mustafa al-Dabi. Incidently, Israeli media had admitted that over US$50 million from the ‘
Save Darfur’
fund were transfered to the Zionist entity to build
new Jewish settlements
on land stolen from the Native Muslims and Christians.
Rami Abdelrahman, head of the London-based
Syrian Observatory for Human Rights
, receives his funds from US and British NGOs. The organization serves as the exclusive source of “reports” coming out of Syria despite the fact that it is actually, entirely based in London.

Remember the Zionist propagada crook, Tom MacMaster,
faking
Syrian lesbian blogger, Amina Abdallah Arraf, ‘
A Gay Girl in Damascus’
who fed lies to the Zionist-controlled media
.

Abdu Maghrabi, chief editor Egyptian daily
al-Anbaa
is a member of the 11-member Egyptian media delegation visiting Syria as part of AL observation mission. He expressed surprise at the news broadcast by
al-Arabiya TV
on the violent acts and killing in Daraa, saying “
I expected the Syrian government will cancel our visit to the city because of what I heard. However, what happened is that we went to Daraa and found nothing of what has been reported by al-Arabiya, which indicates the huge misleading media campaign on Syria.
”

In June 2011 – US Congressman Kucinich had blasted western media for
exaggerating
events in Syria.

French journalist and author, Thierry Meyssan has
claimed
that the so-called ‘Free Syrian Army’ doing most of the killing inside Syria is headed by the US-Saudi asset, Aldel Hakim Belhaj, the military
 
Massive Spontaneous Gatherings in Syrian Cities in Rejection of Foreign Intervention and Emphasis on National Unity for Confronting Conspiracy
Dec 31, 2011​
20111230-151230_h391433.jpg

GOVERNORATES, SANA_ Syrian citizens continued their national activities to express their rejection of the foreign intervention in Syria's internal affairs and support to the national unity, independent national decision, and to the comprehensive reform program led by President Bashar al-Assad.
Massive crowds of citizens spontaneously gathered on Friday in a number of squares and streets in the governorates of Damascus and its countryside, Aleppo, Homs, Lattakia, Tartous, Sweida and Hassakeh, stressing their determination to confront the plot which Syria is exposed to.
20111230-164854.jpg

The participants shouted slogans that reflect the civilized image of the Syrian people and confirm that they , through their awareness, sincerity, and rallying around their leadership, are able to face all the pressure and biased campaigns targeting Syria's security and stability to turn it away from its pan-Arab approach in defending the Arab Nation's rights and interests.
The participants also thanked the Syrian Arab Army which proved to be the defender of the homeland and its immune fort in the face of conspiracies, stressing that the pure blood of the army martyrs has protected Syria and consolidated the national unity.

20111230-165026.jpg

The participants raised Syrian flags and banners, demanding the Arab League observer mission to be credible and professional in conveying the facts of what the terrorist groups's crimes of killing innocents, terrorizing people and vandalizing public and private properties.
They called on them to unveil the lies and fabrications of the misleading media channels and exposing their role in shedding the Syrian blood through their "tendentious and inflammatory campaigns."
In Damascus Countryside, mass rallies participated in lighting the "Homeland Tree" which is decorated with the photos of the army and policemen martyrs in Sahnaya.
The event was held in commemoration of the martyrs and in rejection of the attempts at foreign interference in the Syrian internal affairs.
In Sweida Province, People of Ara Town and the neighboring villages rallied at the town square, stressing that all the Syrians are in one trench against pressure and plots targeting the homeland.
In Homs, thousands gathered at al-Hadara Street to express condemnation of the crimes committed by the armed terrorist groups against soldiers and the civilians alike.
The participants stressed to the Arab League observers, who are currently visiting the city, that the Syrians are able to solve their problems without foreign interference, urging the mission to be honest and transparent in its reports.
20111230-165113.jpg

Two rallies also took place in Hassake city's President Square and Qamishli city's Sabaa Bahrat Square with the participation of social and civil activities which gathered to show support for the independent national decision and reform and voice rejection of the plots against Syria.
The two squares were decorated with Syrian flags and banners emphasizing adherence to national unity and reform, with participating chanting slogans saluting the army and the soldiers sacrificing their lives to restore Syria's security.
The participants affirmed that the Syrians will not be affected by the lies and fabrications of mercenary media, and that the conspiracy against Syria is taking its last breaths.
20111230-165149.jpg

20111230-165221.jpg

20111230-165251.jpg

20111230-165317.jpg

M. Nassr/ Ghossoun / H. Sabbagh
 
Back
Top Bottom