Alwaz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 6,830
- 10,360
Bashar anarejea makosa yaliyofanywa na wahanga wenzake,Saddam na Ghadafi.Fitna iliyo mbele yake ni kubwa kuliko mbinu alizonazo za kujitetea.Waisrael,waiengereza na wamarekani wako ndani ya Syria wakiongeza kasi ya mashambulio.Miripuko itaendelea dhidi ya jeshi lake ikitajwa ni defectors.Defectors watakuwa wakishangiria bila kumjua nani kati yao aliyefanya hivyo.Vibaraka wa mayahadi katika nchi zote za kiarabu wataendelea kumbana na hatokuwa na pakutokea.
Ili kuepuka kifo cha fedheha atumie mbinu ya Mullah Omar.Abadilike mara moja na kuwa muislamu mchamungu.Agawe silaha zake zote mitaani kwa vikundi vinavyoitwa vya kigaidi. Aseme yote aliyonayo na anayoyaelewa kuhusu maadui zake ambao ni maadui wa uislamu.Asisubiri kuandika kitabu hatopata tena hiyo nafasi.
Baada kufanya hivyo atafute sehemu yoyote duniani ajifiche na kufa kifo cha kimya kimya.Sisi tutampongeza kwa ushujaa huo. Jengine analokusudia kulifanya ni ujinga na halitompeleka mbali.
Ghadafi alifanya mengi kuwaridhisha watu wake na makafiri lakini kwa vile hakufanya kwa malengo ya Mungu Muumba hayakumsaidia chochote.Iran nayo nafasi yake ndiyo hii ya kuvunja vikwazo vyote vya kidiplomasia ambavyo tangu hapo hakuna anayevijali. Aingie Syria kumsaidia Bashar kwa lolote analotaka ili nguvu ya kupambana na waharibifu wa dunia ipate nguvu.Akimalizwa Syria hatokuwa na rafiki yoyote wa kusaidiana naye.