Wamarekani ni wanafiki sana, waasi wakiuawa, wanasema Asaad anauwa 'wananchi', lakini hao 'wananchi' wakiuwa askari wa Asaad, wanasema waasi ndio wameua... Leo Asaad amesema hii vita ina muda mchache ataimaliza, vilevile hii ni 'Global war', sio 'syrian war'. BBC wametoa analysis yao, waasi wanaelekea kushindwa. Pia, inaelekea USA walikosea mahesabu yao juu ya Asaad, inabidi wakajipange upya.