Assad mama yake angekua siyo mzungu,siku nyingi watu wamekula kichwa. Hata hivyo hatafika December mwaka huu akiwa rais wa Syria!
Mkwara wa Urusi, China na sasa Iran utasaidia kudhibiti wimbi la wamagharibi kuiingilia Syria Kisheji?Big Russian fleet nears Syria. Iran to fight regime change as foreign forces pile up