Symptoms Za Ubinafsi Chitchat mnaziona ?

Symptoms Za Ubinafsi Chitchat mnaziona ?

Wana wa Bodi .
Kwa muda sasa nimekua siridhishwi na niyaonayo hapa mjengoni .

Saratani ya "UBINAFSI" na "UMIMI-UMIMI" naiona kila uchao inaendelea kuushambulia mjengo ! .

Nikifunguka zaidi , niseme -
Hapa mjengoni wako baadhi ya Members ambao kwa wiki nzima hawatii maguu mjengoni Chtcht kuchangia Thrade yeyote .
Bali huja na kushusha Thrade zao mara 1 kwa wiki .
Na hiyo siku 1 anayokuja hapa na Post yake , basi angekua anachangia pia na Post zingine anazozikuta .
Hachangii !
Atakomaa tu na Post yake basi .

Nachokishangaa bado unakuta baadhi ya Members wana share comments na watu sampuli hii .

Sijui nanyi wadau wenzangu , kama hili mnaliona .
Hivi wewe huna time ya ku'share vyangu , mimi ndiyo niwe maalumu wa kushare vyako !
Inayumkin ?
Nye.ge si ni kunyegeshana jamani ?
Nawasilisha !

Mkuu Judgement hao ni wachoyo mpaka hata vile walivyopewa bure na Mnyaaz Mungu
 
Mkuu Judgement hao ni wachoyo mpaka hata vile walivyopewa bure na Mnyaaz Mungu

Mtu wangu , dunia mambo msagurano!
Na kuna wengine mpaka wanapigana vya moto na kuzimishana , kwa kudai viungo vinavyomilikiwa kwenye miili ya wengine .
 
Mtu wangu , dunia mambo msagurano!
Na kuna wengine mpaka wanapigana vya moto na kuzimishana , kwa kudai viungo vinavyomilikiwa kwenye miili ya wengine .

Braza kazi ipo kwani watu wana wivu mpaka wanalemewa!
 
Back
Top Bottom