Symptoms Za Ubinafsi Chitchat mnaziona ?

kuna kaukweli fulani hapa, japo watu wanajifanya hawakuelewi, ujumbe umefika mwanangu.
 
mambo zenyu jamani......................nimekamilisha Judgement naona umeamka na rungu mkononi. Tupe vidonge vyetu, tukimeza au tukitema shauri zetu.
 
Yeah now I do understand.........
utambulisho muhimu unaweza kushangaa umefall in love
na kaka yako bila kujua.....

Btw mie usiniprohibit kwako !
Mie na wewe hatuna blood relation !
So far incase tukimaindiana tunakulana tu !
Hakuna shombo! Wala vumba !
 
hahaa tusamehe bure mimi na huyo babu........
stress za uzeeni anataka kuzimalizia kwa HOE........

Chonde-chonde! Usije ukatuulia Babu yetu !
Babu mziki wako ataumudu ?
Biashara ya kuja kuchangisha mapeni hapa Jf ya kumpeleka Babu India haitakiwi ipate nafasi .
 
Back
Top Bottom