Symptoms Za Ubinafsi Chitchat mnaziona ?

Btw mie usiniprohibit kwako !
Mie na wewe hatuna blood relation !
So far incase tukimaindiana tunakulana tu !
Hakuna shombo! Wala vumba !

we hatuna undugu hata wa kusingiziwa
ko hata tukilana hakuna effect kwenye
familia zetu.........kiroho swafi na burudan
 
we hatuna undugu hata wa kusingiziwa
ko hata tukilana hakuna effect kwenye
familia zetu.........kiroho swafi na burudan

Huu uelewa wako wa haraka , unanilazimisha niwa seduce viongozi wa hapa wakutaftie cheo!
Nway sasa unaruhusiwa kuchakachua uzi utakavyo.
Even ukimix viazi, utumbo , makande mihogo shusha tu! Full-ruksa !
 
Muheshimiwa! Napata tabu kukuelewa !
Hapa sijakutaja , na katika niliyowalenga wewe haukua kichwani mwangu kabisaa!
Yawezekana ikawa habari ya jiwe la gizani !
Sijui hapo nilipotumia neno "kwa mfano wewe SHIEKA unakuja ..,......."
Ndiyo ukaona nimekulenga ?
Ni kama unadandia gari ubavuni hivi , Sikuelewielewi
Neno "kwa mf." nalo nilitolee explaination?
Nielewe tu Judgement! Kama ulikuwa hunilengi mimi ila ulitoa mfano tu, bahati mbaya sikukupata! Yote tuliyoandika yawe 'nullified' ie yabatilishwe!
 
Last edited by a moderator:
Nielewe tu Judgement! Kama ulikuwa hunilengi mimi ila ulitoa mfano tu, bahati mbaya sikukupata! Yote tuliyoandika yawe 'nullified' ie yabatilishwe!

Sasa nimekuelewa!
Kwamba ulini'read visivyo.
Nway naheshimu mawazo yako .
Na ya wengine pia!
Tuangalie fursa twende mbele .
 
Last edited by a moderator:
kumbe na mikwara wanayo
huku kuchangia kwingine hakuna
Wewe hata usingetia neno
mwallu haupo "kwenye wa Mimi" Btw hawakawiagi
kusema "Hivi unanijua wewe mimi ni nani ?"
Au "unaelewa unaongea na nani?"
 
Last edited by a moderator:
Sasa nimekuelewa!
Kwamba ulini'read visivyo.
Nway naheshimu mawazo yako .
Na ya wengine pia!
Tuangalie fursa twende mbele .

kijana wangu kwa kuangalia fursa hujambo, nimeona pale kwa Mamndenyi na binti yake! safeey
 
Last edited by a moderator:
kijana wangu kwa kuangalia fursa hujambo, nimeona pale kwa Mamndenyi na binti yake! safeey

Ankal ,
Ni kweli ile fursa ile iko wazi !
Ghafla nikawaona wazee @aspirini watu8 na wewe mnabadilisha habari ya mambo yenu .
Nikaona nisiingilie maongezi ya wazee , nikala kona ya meli .
 
Last edited by a moderator:
Braza kuna mabazazi ya sredi yamejaa fulu humu. Yakiona za mademu yoooooe yankesha humo ila za mameni wanapita kama hawajaona kitu. wasamehe tu ila kuanzia sasa watajifunza.
 
Huu uelewa wako wa haraka , unanilazimisha niwa seduce viongozi wa hapa wakutaftie cheo!
Nway sasa unaruhusiwa kuchakachua uzi utakavyo.
Even ukimix viazi, utumbo , makande mihogo shusha tu! Full-ruksa !

nimekupendaje burw J,ankal wako Kaizer asingekuwepo humu ndani

ningekuja hapo ulipo nikupe busu mwanana la asante
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom