Symbiam fonts for FREE!

James St. Patrick

Senior Member
Jun 23, 2011
162
62
Niaje wana jf? Kwa wanaotumia symbian phones kuna fonts kama 35 hiv kwa ajili yenu!
1. Fungua www.waptanga.tk
2. Nenda sehemu ya symbia zone
3. Fungua symbian fonts
4. Mwisho fuata maelekezo yaliyopo hapo juu na download!
Gharama za internet kutozwa, naumia simu ningeweka link. Enjoy.
 
Mbona wameandika ni for symbian 60 version 3? What about sisi tunaotumia version 5(nokia 5800 etc)?
 
font ni zile zile joshamto nakushauri nenda sehemu yoyote kadownload software ya flipfont ile haitafaa. Ovi pia ipo

Then ukiopen software utaona fonts ni trial wanaziuza so wewe utadownload file la fonts toka maelezo ya jamaa hapo juu then utazi extract utaona software yako ya flip font inajaa fonts (kama umenunua)
 
nime download na kufuata kila kitu font zmetokea but niki apply sione any changes
 
safi sana inabadili fonts za kila kitu mpaka application unazo download yan kuanzia mig33, nimbuzz, opera yan whatsapp inakuwa na font uliyoweka kwakweli meipenda sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom