Swissport co ltd imejaa vihiyo watupu

mwanaizaya

Senior Member
Apr 26, 2008
133
1
Wanandugu habari zilizotufikia hivi punde baada ya kuonyesha makeke yake katika kuondoa uchafu na uozo wa b.o.t
kashfa nyingine imeikumba kampuni ya mizigo ya swisssport co ltd
vyanzo vya habari cvinaeleza hivi punde kuna baadhi ya watu walidiriki kwenda kwa meneja utawala kuongelea hali halisi ya mishahara yao na katika kujibishana na kuelekezana akapatikaana
mh mmoja akilalamika mbona watu wanalipwa pesa nyingi na uku
wamepata div 0 huku wengine tukiumia
katika maalamiko hayo meneja huyo alidiriki kumhakikishia kama ataweza kumtaja basi ataanzia kwa huyo muhusika
vyanzo vyetu vinasema mh huyo alipotajwa alipelekewa barua ya kuomba kujieleza elimu yake hapo ndipo shuguli ilipoanza
habari zaidi zinasema mh ilibidi amfwate meneja na kumweleza ukweli alidiriki kufoji kutafuta maisha na ndipo alipoakikishiwa hata saini tena mkataba akimaliza
katika mahojiano ya hivi karibuni baadhi ya wafanyakazi wamekuwa wakipelekewa barua za kujieleza kuhusu elimu zao na kufikiwa wengine kuacha bila hata kuaga

kwa maoni yetu hii kampuni imekuwa ikiajiri kila mwezi na kulipa mishahara midogo tungeomba serikali waifwatilie na kuiangali ili watu waweze kulipwa inavyotakiwa wakiachana na mtindo wa meneja mkuu kuamini ana uwezo wa kuajiri saa yote hivyo kujaza mafisadi na vihyo mbofumbofu

pili imefika wakati wa kuangalia vyeti vya wahusika na wote wakipatikana washugulikiwe ipasavyo na si kuahidiwa kutosaini tena mkataba

wenu
mwanampotevu
 
Ndugu yangu mwanaizaya, hapo umelenga penyewe!!!!!
najua kuna fulani hapa wana allergy na neno uchaganization a.k.a ukabila.
naomba wale msiopenda kusikia chagaz wakiguswa,muwe wapole kidogo, mfanye utafiti kidogo then mje mlete views zenu.
Swissport kadri ninavyoifahamu ni kampuni ambayo inaajiri kwa upendeleo wa dhahiri.Wapo wenye viwango vya elimu vinavyokubalika lakini wapo watu wengi tu vihiyo lakini kwakuwa ni chagaz wamepata ajira na mishahara mizuri na ndio mameneja wa vitengo mbalimbali.
na hilo suala la watu kupewa barua za kujieleza ni kweli lakini bado kuna wengine wamelindwa.kwa sehemu kubwa swissport imejaa wanandugu na wanaukoo. mfano unakuta kuna mama/baba, mjomba/shangazi,mpwa/binamu,shemeji/wifi na marafiki.
Top management asilimia themanuini ni chagaz.na meneja mkuu wa swissport ndiye kila kitu,ndiye anaamua nani ashikilie madaraka gani kadri anavyotaka yeye.
jambo la mwisho, hivi ni kwa nini serikali imewaachia ukiritimba swissport?mishahara yenyewe ni midogo sana kwa middle and lower cadres, mameneja tu ndio wananeemeka!!
Kwa mfano kenya kuna makampuni matano yanayotoa huduma katika viwanja vya ndege lakini mishahara yao(swissport kenya) ni mizuri mno ukilinganisha na upande wa tanzania. ieleweke kuwa swissport kenya & swissport tanzania zinamilikiwa na mtu mmoja(swissport international).
wakati naungana na mwanaizaya kuitaka serikali na jamii kukemea huu ufisadi wa swissport, ni vizuri serikali ikawaondolea hawa swissport ukiritimba, waruhusiwe washindani ili walau huduma ziboreshwe hata maslahi ya wafanyakazi yataboreshwa.
ni hayo tu kwa sasa naomba kuwasilisha.
 
Mlikumbatia UBEPARI na kujiingiza kichwa kichwa sasa MTAKIPATA.....Na kama mataendeleza chuki..Na ukabila...Iwe ni mchagga ama Mjita nk...Mtamwagana sana tu hadi muingize akili...Ila wakitokea viongozi smart watakutandikeni bakora sana tu for the sake of NEXT GENERATION...ONE AFRIKA WITH LOVE,PEACE AND HARMONY.
Wale wote iwe wazungu ama waarabu na wahindi amabao ndio wenye kushiriki kwenye mchakato wa uajiri sehemu mbali mbali...Sasa wewe Maranya ni maranya kweli kweli..Sasa hiyo Swiss International ni ya nani?
Na hao wachagga ambao wanaendeleza mambo kama hayo pia hatuwataki..Kila kabila lina wabaguzi wake sambamba na dini.
Hao tutawakataa...Hata wewe tutakukataa...
 
Nakubaliana na Mwita Maranya hapo juu kwamba Swissport Kenya na Swissport Tanzania zote zinamilikiwa na Swissport International ambayo headquarters zake ziko Switzerland na inaoperate kwenye nchi zaidi ya 40. Ila it is worth mentioning kwamba hii Swissport Tanzania inamilikiwa pia na wadau wa Tanzania, nikiwemo mimi na wengine wengi (nina hisa chache huko). Sasa nivizuri kusikia habari kama hizi ili zifanyiwe kazi sio tu zibaki kama malalamiko ya watu wachache pembeni au privately i.e. up to Management level. Kama management yenyewe ni kambi moja mimi sioni kama haya malalamiko yatafika mbali maana yana expose uozo wa hiyo kambi. I'm a believer in telling the truth,telling it now, and telling it openly. Provided kuna evidence yakutosha, that is. Inaelekea Mwanaizaya hapo juu ana informer ama ana evidence fulani ambayo inaweza kufika mbali. My suggestions would be:
1. To write to the appointing Authority of Swissport Chief Execuitive - this would be the Minister for Transportation (or Infrastructure??)
2. To write an open letter to the press (just to get exposure). This may mobilise the workforce into action.
3. To lobby to a very board members of Swissport so that it's discussed as a substantive agenda in the boardroom.
Wana JF mnaionaje hii?
 
Why don't you (Mama Subi) start doing some of the things you mentioned above since you have a few Shares in the company. Aren't you concerned that this may ruin the reputation of the company and eventually lose public trust and thus affecting functional productivity? Start the move to protect your shares and thus you will also be doing right to the real qualified people for the job positions..... if available.
 
Nakubaliana na Mwita Maranya hapo juu kwamba Swissport Kenya na Swissport Tanzania zote zinamilikiwa na Swissport International ambayo headquarters zake ziko Switzerland na inaoperate kwenye nchi zaidi ya 40. Ila it is worth mentioning kwamba hii Swissport Tanzania inamilikiwa pia na wadau wa Tanzania, nikiwemo mimi na wengine wengi (nina hisa chache huko). Sasa nivizuri kusikia habari kama hizi ili zifanyiwe kazi sio tu zibaki kama malalamiko ya watu wachache pembeni au privately i.e. up to Management level. Kama management yenyewe ni kambi moja mimi sioni kama haya malalamiko yatafika mbali maana yana expose uozo wa hiyo kambi. I'm a believer in telling the truth,telling it now, and telling it openly. Provided kuna evidence yakutosha, that is. Inaelekea Mwanaizaya hapo juu ana informer ama ana evidence fulani ambayo inaweza kufika mbali. My suggestions would be:
1. To write to the appointing Authority of Swissport Chief Execuitive - this would be the Minister for Transportation (or Infrastructure??)
2. To write an open letter to the press (just to get exposure). This may mobilise the workforce into action.
3. To lobby to a very board members of Swissport so that it's discussed as a substantive agenda in the boardroom.
Wana JF mnaionaje hii?
Mama Subi una akili nyingi na ubarikiwe...!Mi nasema naunga mkono wazo lako
 
Bwana Mushi to be honest sijakuelewa vizuri,are you for or against hoja ya mdau Maranya?
 
Nakubaliana na Mwita Maranya hapo juu kwamba Swissport Kenya na Swissport Tanzania zote zinamilikiwa na Swissport International ambayo headquarters zake ziko Switzerland na inaoperate kwenye nchi zaidi ya 40. Ila it is worth mentioning kwamba hii Swissport Tanzania inamilikiwa pia na wadau wa Tanzania, nikiwemo mimi na wengine wengi (nina hisa chache huko). Sasa nivizuri kusikia habari kama hizi ili zifanyiwe kazi sio tu zibaki kama malalamiko ya watu wachache pembeni au privately i.e. up to Management level. Kama management yenyewe ni kambi moja mimi sioni kama haya malalamiko yatafika mbali maana yana expose uozo wa hiyo kambi. I'm a believer in telling the truth,telling it now, and telling it openly. Provided kuna evidence yakutosha, that is. Inaelekea Mwanaizaya hapo juu ana informer ama ana evidence fulani ambayo inaweza kufika mbali. My suggestions would be:
1. To write to the appointing Authority of Swissport Chief Execuitive - this would be the Minister for Transportation (or Infrastructure??)
2. To write an open letter to the press (just to get exposure). This may mobilise the workforce into action.
3. To lobby to a very board members of Swissport so that it's discussed as a substantive agenda in the boardroom.
Wana JF mnaionaje hii?
nakuunga mkono kabisa!!!
 
wadau nimecheck na lawyer mmoja kaniambia ku forge vyeti(forgery in general) na ku utter false documents adhabu yake ni miaka 7 jela,wambie wanaoghushi wajue dhahma ya jela inawasubiri,hakuna faini.
 
...Iwe ni mchagga ama Mjita nk
...Ila wakitokea viongozi smart watakutandikeni bakora sana tu for the sake of NEXT GENERATION...ONE AFRIKA WITH LOVE,PEACE AND HARMONY.

...Sasa wewe Maranya ni maranya kweli kweli..Sasa hiyo Swiss International ni ya nani?
...Hata wewe tutakukataa...

Ndio maana kwenye maelezo yangu hapo juu nimeanza kwa kuwatahadharisha wale mnaopenda kurukia vitu hovyo hovyo bila kuvijua!
Na wewe mushi ni mmoja wao,bila kutafakari umeingia kichwa kichwa kwa kuwa tu wachaga wametajwa!!!
We unaelewa kuwa wachaga ni mojawapo ya makabila machache sana hapa bongo yanayoendekeza ubaguzi,kupeana ajira,nafasi za masomo na upendeleo wa kila namna,hii ilishajadiliwa hapa kwa kirefu sana na wale ambao kwa namna moja ama nyingine mnafaidika na ubaguzi huo mmekuwa mkiwatetea sana hao wachaga wabaguzi.
suala la kutandikwa bakora hapa halipo,kama ulitaka marehemu chacha wangwe apigwe risasi na akauawa kweli ukafurahia.kwa taarifa yako hapa huwezi kufanya lolote.
sasa unaposema mtanikataa, nyie akina nani?na wenzako msiotaka wachaga waguswe?hata kama wanayotenda ni maudhi kwa wengine na ni kinyume na taratibu na sheria?au ni wewe peke yako?hivi ukinikataa itakuwaje?nitapungukiwa nini?yaani sikuelewi kabisa wala hunipi homa kabisa kajaribu kwingine mushi.
 
Ndugu yangu mwanaizaya, hapo umelenga penyewe!!!!!
najua kuna fulani hapa wana allergy na neno uchaganization a.k.a ukabila.
naomba wale msiopenda kusikia chagaz wakiguswa,muwe wapole kidogo, mfanye utafiti kidogo then mje mlete views zenu.
Swissport kadri ninavyoifahamu ni kampuni ambayo inaajiri kwa upendeleo wa dhahiri.Wapo wenye viwango vya elimu vinavyokubalika lakini wapo watu wengi tu vihiyo lakini kwakuwa ni chagaz wamepata ajira na mishahara mizuri na ndio mameneja wa vitengo mbalimbali.
na hilo suala la watu kupewa barua za kujieleza ni kweli lakini bado kuna wengine wamelindwa.kwa sehemu kubwa swissport imejaa wanandugu na wanaukoo. mfano unakuta kuna mama/baba, mjomba/shangazi,mpwa/binamu,shemeji/wifi na marafiki.
Top management asilimia themanuini ni chagaz.na meneja mkuu wa swissport ndiye kila kitu,ndiye anaamua nani ashikilie madaraka gani kadri anavyotaka yeye.
jambo la mwisho, hivi ni kwa nini serikali imewaachia ukiritimba swissport?mishahara yenyewe ni midogo sana kwa middle and lower cadres, mameneja tu ndio wananeemeka!!
Kwa mfano kenya kuna makampuni matano yanayotoa huduma katika viwanja vya ndege lakini mishahara yao(swissport kenya) ni mizuri mno ukilinganisha na upande wa tanzania. ieleweke kuwa swissport kenya & swissport tanzania zinamilikiwa na mtu mmoja(swissport international).
wakati naungana na mwanaizaya kuitaka serikali na jamii kukemea huu ufisadi wa swissport, ni vizuri serikali ikawaondolea hawa swissport ukiritimba, waruhusiwe washindani ili walau huduma ziboreshwe hata maslahi ya wafanyakazi yataboreshwa.
ni hayo tu kwa sasa naomba kuwasilisha.

....Lakini nasikia Chaggaz unaowasema wamekula kitabu kweli kweli! Shauri yenu, mliona wapi hao wakifoji vyeti! Wao ni shule kwa kwenda mbele!
 
Unafagilia au nawewe chagazz?

Likija swala lakufoji vyeti hakuna chaga wala nini kila kabila linafoji zaidi sana awe mtoto wa fisadi.
 
Wakuu naona bado mnashadadia hizi forgeries za watu wadogowadogo.........mbunge Chitalio ni vp?????????
 
La ku forge vyeti sio geni kabisa nchini kwetu...kuna vihiyo kila kona, kila taasisi..kuanzia Jeshi la Polisi mpaka BoT. Nasikia kuna wabunge vile vile wana elimu za ku forge.
Suala la nani wa kumuajiri na nani si wa kumuajiri ni mambo ya kawaida kabisa kwenye mfumo wa soko huria. Na hakuna sheria zinazom bana mwajiri ili aajiri watu wa aina fulani pekee. Ila makampuni yanayofanya kazi kwa ethics yanajaribu ku balance diversity na ndio maana kwa wale mlioko nje..ukiwa unafanya application ya kazi kuna kisehemu kinauliza kuhusu race (rangi) na jinsia ya applicants.
Sielewi kama nyumbani tuna practice Equal Employement Opportunity kama inavyotakiwa kwa sababu kila kitu mpaka mazingira ya kuajiri yamejaa michongo na ufisadi. Na matokeo yake hakuna efficiency kwa sababu ni "vilaza" ndio wanajaza nafasi ambazo zingetakiwa ziende kwa qualified applicants.
Nawakilisha.
 
....Lakini nasikia Chaggaz unaowasema wamekula kitabu kweli kweli! Shauri yenu, mliona wapi hao wakifoji vyeti! Wao ni shule kwa kwenda mbele!

nadhani utakuwa chagaz bila shaka au unanufika na huo ubaguzi wa kichaganization.

kwa taarifa yako kuna watu wamepewa barua za kujieleza au kuthibitisha uhalali wa vyeti vyao hapo swissport.

na kwa taarifa yako most of them ni chagaz.

kwa taarifa zaidi wiki kama moja iliyopita wameajri watu kama 16 hivi, na kama kawaida yao swissport chagaz wakafanya mambo. Baadhi ya watu waliotoswa huku wakiwafahamu vihiyo waliopata kazi wakaenda kulalamika na ushahidi wakiwa nao.
Baada ya ''swissport management'' kulimwa barua ya kutakiwa kuthibitisha/kuwasilisha vyeti vya hao watuhumiwa, watano 'on the spot 'wameachia ngazi. na kuna wengine ambao wapo siku nyingi tu wamekiri baada ya kubanwa kuwa walilazimika ku-forge ili kuwawezesha kupata ajira.

sasa unaposema eti wamesoma unakuwa unapotoka sana.
kama ku-forge ndio kusoma nitakuelewa.
 
Wachaga ndo zao, hebu tujiulize tulioenda shule japo ndogo tu, hivi wachaga darasani vichwa vyao vilikuwa vinakamata saaaaana? Mie sikumbuki mchaga aliwahi kuwa tishio katika madarasa niliosoma. isipolkuwa ni huko kubebana.Chuo ilikuwa ukitaka kupata alama nzuri za kozi weki hasa katika practical kaa kundi na mchaga hasa mwalimu akiwa mchaga. Hawana lololte ni tabia ya ujanja ujanja na wizi tu hao. washughulikiwe km system ilivyowatenda kina lowasa! nani alitegemea?????
 
Wana ndugu huu ndio ukweli halisi huyu mwanaizaya inaonekana yuko jikoni anaogpa kusema ukweli.....

Kuna kijana pale kitengo cha cargo anaitwa denis alikuwa anamazoea ya kunywa pale qbar na kuanza kutukana watu ovyo..katika matukano akamtukana rafikie wa zamani ....akamuuliza yamefika wapi haya!!!akaanza kumtambia we unanini una nyumba mi nimepanga gari nje...na kweli ana gari 3
kwa ajili ya wizi wa mizigo na kupitisha mizigo nusu kodi bila risiti...baada ya matusi huyu kijana aliambiwa wewe unaringa una div 0...hayo mambo ya kiukoo ndio yaakutia kiburi akajibu nani ana 0 na matusi kibao

baada ya hapo yule mkuu ankatonywa na mmoja wa wadau kwamba kuna post za cargo wametangaza......yule kaka akapeleka barua kwa mkono wake kwa mama mmoja...alipofika akaambiwa afungue zile docs zake akaanza kuijelezea akaambiwa una div 0 inakuwaje ..atuwezi kukupa kazi...ndipo alipokuja na evid kwamba denis yuko cargo ana div 0 na mnamlipa laki 800,000 na div 0..ndipo akaulizwa aje ajieleze akashindwa kuelezea zikatumwa barua kwa kila mtu ajieleze elimu yake mpaka mwisho..............
Kasheshe ndio ikaanzia hapo walipkuja kuleta kwa wale watoto wanaocheck counter ilikuwa aibu wengine wakakimbia na makaratasi na mpaka leo hii

kwa kweli hili shirika niaibu wakianza na wale watoto wanaocheck abiria hawajui hata kingereza na mwisho kuishia kumcheck abiria na kuomba pesa ya chai.............kai kweli kweli inaitajika uangalizi wa hali ya juu na sasa hivi wanaajiri tena
 
Lakini nasikia Chaggaz unaowasema wamekula kitabu kweli kweli! Shauri yenu, mliona wapi hao wakifoji vyeti! Wao ni shule kwa kwenda mbele

UNAWEZA KULA KITABU MPAKA DEGREE UKAFOJI CHA MASTERS...........UPO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom