isambe JF-Expert Member Feb 14, 2008 2,195 1,401 Oct 30, 2012 #21 Hiyo ni manzese au kwa mucha achani bonde la mpunga?.Hiyo ni kutokana na Mdosi mmoja kujenga ukuta kwenye eneo lake.
Hiyo ni manzese au kwa mucha achani bonde la mpunga?.Hiyo ni kutokana na Mdosi mmoja kujenga ukuta kwenye eneo lake.
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,957 93,939 Oct 30, 2012 #22 Bujibuji said: Nakukubali sana watu8 Click to expand... pamoja sana mkuu...!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,870 155,834 Oct 30, 2012 #23 Kongosho said: mbona mnatuonea sana manzese? Click to expand... Kongosho, mlaumuni rais wenu Madee anayewafanya muendelee kuonewa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kongosho said: mbona mnatuonea sana manzese? Click to expand... Kongosho, mlaumuni rais wenu Madee anayewafanya muendelee kuonewa
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,870 155,834 Oct 30, 2012 #24 Fasouls said: mbona hayo maji yanafanana na rangi ya c-c-m? Click to expand... Chama cha majitaka......
Fasouls said: mbona hayo maji yanafanana na rangi ya c-c-m? Click to expand... Chama cha majitaka......
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,170 Oct 30, 2012 #25 Madee tushamtoa kafara siku nyingi Mie ndio Malkia wa Manseze, kuna waziri mkuu tu Saa hivi Nzese hadi kuna supa maketi bwana, soseji na mazaga zaga yote yapo Ila na miguu ya utumbo wa kuku bado upo Bujibuji said: Kongosho, mlaumuni rais wenu Madee anayewafanya muendelee kuonewa Click to expand...
Madee tushamtoa kafara siku nyingi Mie ndio Malkia wa Manseze, kuna waziri mkuu tu Saa hivi Nzese hadi kuna supa maketi bwana, soseji na mazaga zaga yote yapo Ila na miguu ya utumbo wa kuku bado upo Bujibuji said: Kongosho, mlaumuni rais wenu Madee anayewafanya muendelee kuonewa Click to expand...